ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Taahira kweli wewe, nenda kamnadi huko TBCCM tutolee uinga wako hapa.Huna adabu na umekosa malezi mazuri ya wazazi wako.
Taahira kweli wewe, nenda kamnadi huko TBCCM tutolee uinga wako hapa.Huna adabu na umekosa malezi mazuri ya wazazi wako.
Mama mitano tenaaaa
Mjalaana Samia bushiri atoboi mwisho wake na wahuni wenzie utakuwa mbaya ...mimi naona mbali sana utakuwa ni mwisho mbaya wa aibu na uchungu na maumivu makali sana shika haya maneno yangu...wewe ni mmoja wao wenye mwisho mbaya.
View: https://youtu.be/tSyvr-ufGh0?si=yIiCa6rZy-E5ciPL
Million 86?Mwashambaaaaaaa WENYE CCM wapo kumi walichangia shilingi MILIONI 86 wewe alikuwepo????mwambie Samia atangaze haki
Hata wewe unapaswa kushughulikiwa vizuri kabisa ili uwe na adabu na heshima.Muharibifu wa amani anajulikana maana hata jana tumemsikia wazi akitoa maelekezo
"polisi washughulikieni hao wanaosukumana"
Sasa watu wanaosukumana hadi polisi waingilie kati na walivyo na F nyingi kwenye vyeti ni akili kidogo nguvu nyingi watu wamejeruhiwa.
Je gizani huko amri ngapi anatoa ?
"Utasikia hata mshughulikieni huyo Mdude aongea sana mpaka ananiudhi mie..."
View attachment 3487662View attachment 3487663
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tuTaahira kweli wewe, nenda kamnadi huko TBCCM tutolee uinga wako hapa.
Wewe ndiye utakufa vibaya sana na ujinga wakoKuna watu mtakufa vibaya nyie kwa kutetea ujinga ....
Mpuuzi mkubwa wewe unaijua adabu wewe chawa wa mafisadi ??Hata wewe unapaswa kushughulikiwa vizuri kabisa ili uwe na adabu na heshima.
Sikia hiki 👆 kijambio cha sa100 bushiri 😁😁 samia atoboi lazima mwisho wake uwe mbaya shika haya maneno yanguUtake usitake Lazima ufahamu ya kuwa Rais Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wetu mpaka 2030. Kama hupendi badi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno Mazito na ya hekima kubwa sana yaliyotolewa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge katika kuwaasa watanzania hususan Vijana juu ya kutunza na kulinda Amani ya Taifa letu ambayo ndio msingi na chachu ya maendeleo ya Taifa letu na ustawi wa watanzania wote.
Ikumbukwe ya kuwa kuna wanasiasa na wanaharakati uchwara waliofilisika kifikra na kuishiwa hoja na sera za kuwashawishi watu wanajaribu kutaka kuwatumia vijana kwa kuwalaghai ili wafanye vurugu na kuleta machafuko hapa Nchini kusudi wao wapate kunufaika na machafuko hayo. Ikumbukwe ya kuwa wanasiasa hao uchwara wanaongozwa na uroho wa madaraka,uchumia tumbo na tamaa tu ya fisi.
Embu soma 👉Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Vijana wa Bukombe Mkoani Geita kujiepusha na Vishawishi vya wanaohamasisha kuvuruga amani nchini, akisema amani inayoshuhudiwa nchini ndiyo msingi wa maendeleo na ustawi wao binafsi na wa Taifa kwa ujumla
"Vijana twendeni tukalinde amani yetu, tusikubali kwa hali yoyote kushawishiwa kuharibu amani yetu. Hamtaenda kuchimba, hamtaenda kwenye muziki na hamtafanya chochote amani ikiharibika." Amesisitiza Dkt. Samia.
Mgombea Urais huyo ametoa wito huo leo Oktoba 12, 2025 Runzewe, Wilayani Bukombea Mkoani Geita wakati wa Mkutano wake wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, akitahadharisha kuwa itakapotokea uvunjifu wa amani, Watanzania wengi hawana watakapokimbilia hivyo ni muhimu kuwakataa wale wote wenye kushawishi kutenda matendo yenye kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
"Nchi yetu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayoheshimiwa sana ulimwenguni kwa sifa zake zake, amani yake na maendeleo yake kwahiyo niwasihi sana Vijana wangu tuwe wazalendo na tuipende nchi yetu." Ameongeza kusema Dkt. Samia.
Katika hatua nyingine Dkt. Samia pia ameeleza kuwa serikali ya awamu ya sita inajengwa uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo Ushirombo, Bukombe, Wilaya hiyo ikiingia kwenye orodha ya Wilaya chache nchini zenye Viwanja vya Michezo, akisema uwanja huo ni zawadi na ishara ya upendo kwa Vijana wa Wilaya ya Bukombe kutoka kwenye serikali ya awamu ya sita.View attachment 3487652
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umpe 'usimpe, tutampa wengine na atapita upo👌Siwezi mpa kura yangu form 4 failure abadan!.
Serikali haiwezi kuajiri vijana wote wanaomaliza vyuo vikuu na hata vyuo vya kati. Hata hivyo Rais Samia kajitajidi sana katika kuendelea kutoa ajira na fursa za ajira kwa vijana. suala la ajira kwa vijana ni tatizo na changamoto kwa Dunia nzimaTukutane oktoba 29. Haiwezekani MTU akae kitaa kuanzia 2015 bila ajira halafu unamwambia anacha kupoteze akiandamana, thubutu.
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Hiyo itajulikana tarehe 29 October kama ni tatizo la Dunia au uwezo mdogo wa Ma CCM kuchanganua mambo.Serikali haiwezi kuajiri vijana wote wanaomaliza vyuo vikuu na hata vyuo vya kati. Hata hivyo Rais Samia kajitajidi sana katika kuendelea kutoa ajira na fursa za ajira kwa vijana. suala la ajira kwa vijana ni tatizo na changamoto kwa Dunia nzima
Mbona wewe hujatekwa..Mama Abduli aachwe kuwatumia vijana kufanya udhalimu ikiwemo kuteka, kutesa, na kuua.
Jaribu uandamane ukione cha Mtema kuni.Hiyo itajulikana tarehe 29 October kama ni tatizo la Dunia au uwezo mdogo wa Ma CCM kuchanganua mambo.
Nakwambia bora mtu afie kwenye maandamano kuliko kufa Kwa stress zilizosababishwa na Ma CCM.
Mbwa nyie Ma CCM.
Wale bila virungu na bunduki mbona ni wachumba tu!