October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Weka picha yangu chumbani upigie nyeto mwisho mwisho maana 29 ndio mwisho wako
HalaaMama mitano tenaaaa
Upinzani upo mpona!Ahhaa uhakika mbona.😄😄.
Anashindwaje wakati kaua upinzani?
Tarehe 29 wewe mjinga lazima upakwe wese la parachuteNdugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno Mazito na ya hekima kubwa sana yaliyotolewa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge katika kuwaasa watanzania juu ya kutunza na kulinda Amani ya Taifa letu ambayo ndio msingi na chachu ya maendeleo Taifa letu na ustawi wa watanzania wote.
Ikumbukwe ya kuwa kuna wanasiasa na wanaharakati uchwara waliofilisika kifikra na kuishiwa hoja na sera za kuwashawishi watu wanaharibu kutaka kuwatumia vijana kwa kuwalaghai ili wafanye vurugu na kuleta machafuko hapa Nchini kusudi wao wapate kunufaika na machafuko hayo. Ikumbukwe ya kuwa wanasiasa hao uchwara wanaongozwa na uroho wa madaraka,uchumia tumbo na tamaa tu ya fisi.
Embu soma 👉Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Vijana wa Bukombe Mkoani Geita kujiepusha na Vishawishi vya wanaohamasisha kuvuruga amani nchini, akisema amani inayoshuhudiwa nchini ndiyo msingi wa maendeleo na ustawi wao binafsi na wa Taifa kwa ujumla
"Vijana twendeni tukalinde amani yetu, tusikubali kwa hali yoyote kushawishiwa kuharibu amani yetu. Hamtaenda kuchimba, hamtaenda kwenye muziki na hamtafanya chochote amani ikiharibika." Amesisitiza Dkt. Samia.
Mgombea Urais huyo ametoa wito huo leo Oktoba 12, 2025 Runzewe, Wilayani Bukombea Mkoani Geita wakati wa Mkutano wake wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, akitahadharisha kuwa itakapotokea uvunjifu wa amani, Watanzania wengi hawana watakapokimbilia hivyo ni muhimu kuwakataa wale wote wenye kushawishi kutenda matendo yenye kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
"Nchi yetu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayoheshimiwa sana ulimwenguni kwa sifa zake zake, amani yake na maendeleo yake kwahiyo niwasihi sana Vijana wangu tuwe wazalendo na tuipende nchi yetu." Ameongeza kusema Dkt. Samia.
Katika hatua nyingine Dkt. Samia pia ameeleza kuwa serikali ya awamu ya sita inajengwa uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo Ushirombo, Bukombe, Wilaya hiyo ikiingia kwenye orodha ya Wilaya chache nchini zenye Viwanja vya Michezo, akisema uwanja huo ni zawadi na ishara ya upendo kwa Vijana wa Wilaya ya Bukombe kutoka kwenye serikali ya awamu ya sita.View attachment 3487652
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hili swali hawezi kulijibu.Una uhakika una akili?
Jaribu uandamane ukione cha Mtema kuni.Wewe CHAWA, acha watu waandamane kudai haki zao za msingi. No reforms, no election.
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaTarehe 29 wewe mjinga lazima upakwe wese la parachute
Ila vijana shawishikeni kuidai haki kwa gharama zote.Amani baada kwa kuwa ipo.Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno Mazito na ya hekima kubwa sana yaliyotolewa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge katika kuwaasa watanzania hususan Vijana juu ya kutunza na kulinda Amani ya Taifa letu ambayo ndio msingi na chachu ya maendeleo ya Taifa letu na ustawi wa watanzania wote.
Ikumbukwe ya kuwa kuna wanasiasa na wanaharakati uchwara waliofilisika kifikra na kuishiwa hoja na sera za kuwashawishi watu wanajaribu kutaka kuwatumia vijana kwa kuwalaghai ili wafanye vurugu na kuleta machafuko hapa Nchini kusudi wao wapate kunufaika na machafuko hayo. Ikumbukwe ya kuwa wanasiasa hao uchwara wanaongozwa na uroho wa madaraka,uchumia tumbo na tamaa tu ya fisi.
Embu soma 👉Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Vijana wa Bukombe Mkoani Geita kujiepusha na Vishawishi vya wanaohamasisha kuvuruga amani nchini, akisema amani inayoshuhudiwa nchini ndiyo msingi wa maendeleo na ustawi wao binafsi na wa Taifa kwa ujumla
"Vijana twendeni tukalinde amani yetu, tusikubali kwa hali yoyote kushawishiwa kuharibu amani yetu. Hamtaenda kuchimba, hamtaenda kwenye muziki na hamtafanya chochote amani ikiharibika." Amesisitiza Dkt. Samia.
Mgombea Urais huyo ametoa wito huo leo Oktoba 12, 2025 Runzewe, Wilayani Bukombea Mkoani Geita wakati wa Mkutano wake wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, akitahadharisha kuwa itakapotokea uvunjifu wa amani, Watanzania wengi hawana watakapokimbilia hivyo ni muhimu kuwakataa wale wote wenye kushawishi kutenda matendo yenye kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
"Nchi yetu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayoheshimiwa sana ulimwenguni kwa sifa zake zake, amani yake na maendeleo yake kwahiyo niwasihi sana Vijana wangu tuwe wazalendo na tuipende nchi yetu." Ameongeza kusema Dkt. Samia.
Katika hatua nyingine Dkt. Samia pia ameeleza kuwa serikali ya awamu ya sita inajengwa uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo Ushirombo, Bukombe, Wilaya hiyo ikiingia kwenye orodha ya Wilaya chache nchini zenye Viwanja vya Michezo, akisema uwanja huo ni zawadi na ishara ya upendo kwa Vijana wa Wilaya ya Bukombe kutoka kwenye serikali ya awamu ya sita.View attachment 3487652
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo mpumbavu yeye ndiyo anaye halibu amani na haki na maisha ya watanganyikaNdugu zangu Watanzania,

Huna adabu na umekosa malezi mazuri ya wazazi wako.Tutolee utaahira wako hapa. Sema tu vile kichaa hapewi rungu, ningekulima ban za kufa mtu. Kwanza unaingiaje kumnadi mpuuzi mwenzako humu wakati kaupiga ban mtandao. Nenda TBCCM ukamnadi huko, ewe ndezi!
Huyo mpumbavu yeye ndiyo anaye halibu amani na haki na maisha ya watanganyika
View: https://youtu.be/tSyvr-ufGh0?si=yIiCa6rZy-E5ciPL
Mjalaana Samia bushiri atoboi mwisho wake na wahuni wenzie utakuwa mbaya ...mimi naona mbali sana utakuwa ni mwisho mbaya wa aibu na uchungu na maumivu makali sana shika haya maneno yangu...wewe ni mmoja wao wenye mwisho mbaya.Uwe na adabu na siyo kuropoka ropoka Hovyo kama mlevi wa gongo