GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Muharibifu wa amani anajulikana maana hata jana tumemsikia wazi akitoa maelekezo

"polisi washughulikieni hao wanaosukumana"

Sasa watu wanaosukumana hadi polisi waingilie kati na walivyo na F nyingi kwenye vyeti ni akili kidogo nguvu nyingi watu wamejeruhiwa.

Je gizani huko amri ngapi anatoa ?

"Utasikia hata mshughulikieni huyo Mdude aongea sana mpaka ananiudhi mie..."

Mwashambaaaaaaa WENYE CCM wapo kumi walichangia shilingi MILIONI 86 wewe alikuwepo????mwambie Samia atangaze haki
 
Utake usitake Lazima ufahamu ya kuwa Rais Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wetu mpaka 2030. Kama hupendi badi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Hata wewe unapaswa kushughulikiwa vizuri kabisa ili uwe na adabu na heshima.
 
Hata wewe unapaswa kushughulikiwa vizuri kabisa ili uwe na adabu na heshima.
Mpuuzi mkubwa wewe unaijua adabu wewe chawa wa mafisadi ??

Adabu kwa mtu anayewaambia majizi na mafisadi wajipimie kwa urefu wa kamba zao?
Your browser is not able to display this video.
 
Utake usitake Lazima ufahamu ya kuwa Rais Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wetu mpaka 2030. Kama hupendi badi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Sikia hiki 👆 kijambio cha sa100 bushiri 😁😁 samia atoboi lazima mwisho wake uwe mbaya shika haya maneno yangu
 
Tukutane oktoba 29. Haiwezekani MTU akae kitaa kuanzia 2015 bila ajira halafu unamwambia anacha kupoteze akiandamana, thubutu.
 
Tukutane oktoba 29. Haiwezekani MTU akae kitaa kuanzia 2015 bila ajira halafu unamwambia anacha kupoteze akiandamana, thubutu.
Serikali haiwezi kuajiri vijana wote wanaomaliza vyuo vikuu na hata vyuo vya kati. Hata hivyo Rais Samia kajitajidi sana katika kuendelea kutoa ajira na fursa za ajira kwa vijana. suala la ajira kwa vijana ni tatizo na changamoto kwa Dunia nzima
 
Hiyo itajulikana tarehe 29 October kama ni tatizo la Dunia au uwezo mdogo wa Ma CCM kuchanganua mambo.

Nakwambia bora mtu afie kwenye maandamano kuliko kufa Kwa stress zilizosababishwa na Ma CCM.

Mbwa nyie Ma CCM.
 
Jaribu uandamane ukione cha Mtema kuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…