Mliaza toka Jana kujaza mji wa iringa tunaona wageni wengi sana hapa iringaUwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa mwaka 1976 kwa sababu leo tuna jambo letu na wasanii hapo Samora na matractor pamoja na malori ya kusomba watu leo yamefanya kazi nzuri sana.
Angalia ulivyo kilaza! Kama huna cha kuandiaka ni bora ukae kimya ! Hivi mnafikili nchi hii kila mtu Chadomo!Mmewapa hawa wamama shs ngapi ngapi?.
You have filled the stadium with students from high schools, colleges, universities, government employees who have been compelled to attend the rally, you have ferried people from rural areas to attendHakuna mwananchi anaetamani kumwona Magu. Nani asiyependa kumwona Konde boy buree! Hiyo ni Fiesta sio mkutano wa kampeni!
Wana Iringa watu wa Bukoba wameshaonesha njia wale ni maprofesa, kazi kwenu konesha kuwa mmeelimika, kataeni udikteta na uonevu hapo hapo uwanjani.Kama kawaida CCM haina kufeli acheni wapinzani walielie wakishtuka October 28.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Ota vizuri, ndio kwanza saa tisa alasiri.Upuuzi mtu mkutano wa wanafunzi wa shule na wasanii
Kipigo mtakacho kipata mwaka huu ccm hamtakuja kusahau.
Chadema saccos, kitaweza wapi mziki wa ccm. Dah Magufuli kiboko yao, huyu hata akiongezewa mingine 10 itakuwa mwake Sana. Safari hii, ruzuku kiduchu size ya mwenyekiti tu wengine waende kujiuza kwa mabeberu.CCM inashinda ushindi wa tano bila,goli la tano la mkono wa Mungu wa Maradona.
Ushindi uko palepale. Mjiandae kutupiwa virago na boss wenu Dj. Chama maslahi, chama wapigaji a. K.a saccos.No bana usichanganye mambo sio mkutano wa kampeni hiyo ni CCM fiesta haina tofauti na Fiesta za Prime Time Promotion na Clouds FM ni katika mtindo huohuo
Hata hilo nyomi huwa minafuata Fiesta na sio mkutano wa kampeni
Konde boy atakuwepo?Mliaza toka Jana kujaza mji wa iringa tunaona wageni wengi sana hapa iringaView attachment 1583540
Wanafunzi ni lazima wahudhurie kwan ndio wanufaika wakubwa na utawala wa JPMMtahangaika sana bure tu, Magufuli baba lao
Mwambie Mbowe Fj nae apite bila kupingwa. Majaliwa ni mwanasiasa bora zaidi mara 10 ya Mbowe na Lissu..Tano tena.Eti engine mbili,
Majaliwa Angekuwa engine angelazimisha tume kumpitisha bila kupingwa?
Historia yake katika kuamini wizi wa kura iko wazi.
Majaliwa akiwa mwalimu kule Mtwara akiwa msimamizi wa kituo waliahirikiana na Meck sadiq kutorosha masanduku ya kura wakitumia gari muhamed enterprises.
Sifa hii ya wizi wa kura ndio iliyompa ukuu wa wilaya wakati ule wa Kikwete.
Story za vijiwen bhana ππππEti engine mbili,
Majaliwa Angekuwa engine angelazimisha tume kumpitisha bila kupingwa?
Historia yake katika kuamini wizi wa kura iko wazi.
Majaliwa akiwa mwalimu kule Mtwara akiwa msimamizi wa kituo waliahirikiana na Meck sadiq kutorosha masanduku ya kura wakitumia gari muhamed enterprises.
Sifa hii ya wizi wa kura ndio iliyompa ukuu wa wilaya wakati ule wa Kikwete.
Picha ya miaka x inaileta leo.Mliaza toka Jana kujaza mji wa iringa tunaona wageni wengi sana hapa iringaView attachment 1583540
CHADEMA hii mdebwedo, ndio unaifananisha na CCM na Kanu?. Oct 28, itakuwa Safi Sana. Saccos lazima itolewe kwenye, ramani ya siasa rasmi na kiti chake kikaliwe na NccR.KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?
Tuonyeshe wanaokwenda uchi kwenye mikutano isiyo ya ccm.tofauti ya mikutano ya chama cha Siasa cha CCM na vyama vingine vya siasa ni rangi nguo za wahudhuriaji mkutano. CCM ukitazama picha ni kijani na njano imetamalaki yaani wahudhiriaji karibia wote wamevaa JEZI, kwa maana kwamba wameandaliwa kwa mkutano na kuvishwa nguo!
Lisu mwaka huu ataisababishia chadema kupata ruzuku kidogo sana kwa aaibu ya kushindwa atakayopataWana Iringa watu wa Bukoba wameshaonesha njia wale ni maprofesa, kazi kwenu konesha kuwa mmeelimika, kataeni udikteta na uonevu hapo hapo uwanjani.