Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Selfie kameara inabidi iwe under display isionekane au warudishe ile ya ku pop up, ni raha sana kufaidi kioo chote bila kubana nafasi ya selfie camera
Hii ni Xiaomi Mi Mix 4
Inatumia under display selfie camera. Ndio unataka simu iwe hivi?
 
Selfie kameara inabidi iwe under display isionekane au warudishe ile ya ku pop up, ni raha sana kufaidi kioo chote bila kubana nafasi ya selfie camera

Hiyo mechanics ya kutoa na kuingiza camera kwenye simu ya $$$ 1200 inawezapelekea simu iuzwe $ 1700
Wakati huo ikisababisha simu kuwa nene zaidi wakati sio trend,lakini pia kubana nafasi zaidi ya battery.
 
Kwenye upande wa zooming Huawei hafai duniani mzeee hao wote ni wachunba kwake.
 
Kwenye upande wa zooming Huawei hafai duniani mzeee hao wote ni wachunba kwake.
Mkuu Mi 11 Ultra inazoom 120x

Leo nimeshika Huawei Magic 4 Pro inazoom 100x

Hapa naona imepitwa kidogo na Xiaomi yangu hivyo najikuta natembea kifua mbele
 
Ni Brand ya Huawei mkuu
Ni kama Realme brand ya Oppo
Na Redmi brand ya Xiaomi

Mimi nafanya software mkuu hizi simu nina ziservice mara kibao
Namaanisha Honor ameshajitenga kutoka kwa Huawei
Sikuhizi Honor inatoa simu kali kuliko Huawei na inasupport Google services. Kuhusu Honor kuwa Huawei ni story Tu kwa sasa

Honor inatumia software ya MagicOS ambayo inafanana na ile EMUI ya Huawei ila kwa sasa Honor inajitegemea
Huawei anaendelea kutengeneza simu zisizo na Google services ila kwa sasa simu zake sio competitive Sana.
 
Hapo sahihi mkuu
Nilishawahi kujiuliza kwa nini Honor zinaplaystore wakati Huawei hazina

Nikajua wamefanya hivi kwa ajili Global market, kisha Huawei zibaki China market
 
Itakuwa wateja hawajawa tayari kwa hii tech, ila hiyo itakuwa ndo future trend. Smartphone are getting better everyday

Tatizo la android ni namna ya kulifanya jambo kuwa la maana tu.

Hapa wana kiherehere cha kuondoa hiyo camera lakini hawana matumizi na hilo eneo,bado kulia ni network bar,battery/kushoto muda,atakuja Apple hapo aweke hata tarehe na mwezi sio mpaka ushushe pazia hapo ili lasikae wazi,halafu wake waige tena miaka kadhaa wakati walikuwa wa kwanza kuondoa matakataka hapo,halafu dynamic island ikawa inatokea kwa muda maalum kama ilivyo sasa.
 
Sasa kama iphone anatengenezewa vioo na samsung sasa kwa akili ndogo tu nan hapo ypo juu.

Simu ni zaidi ya kioo, kuna chip ,kuna os na vitu vingine. unaweza tengeneza parts za mtu fulani lakini yeye ana component zingine zinazokuzidi
 
Simu ni zaidi ya kioo, kuna chip ,kuna os na vitu vingine. unaweza tengeneza parts za mtu fulani lakini yeye ana component zingine zinazokuzidi
Sawa lakini kwa case ya Samsung na iPhone Samsung ndio bora zaidi
Mwisho wa siku mtu unaangalia unapenda nini Ila overall bado Samsung ni zaidi ya Apple ukilinganisha devices zao
 
Kuna watu wanunua iPhone sababu ya security,
Sasa sisi wakina kajamba nani kwa security ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…