Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani!
N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!View attachment 2351211View attachment 2351212
Hao wote kwa Huawei ni wachumba1. Iphone
2. Huawei
3. Samsung
Unaongelea toleo la mwaka gani? Sikuhizi ni oled kwa kwenda mbeleMimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.
Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.
iSheep nawasubiri.
How security ni 0? iPhone ina security ipi ambazo Samsung haina? Tuanzia hapa ili tupate balanceSecurity yao ni 0! How do you call it friendly user?
Samsung macho matatu 😊😊😊 Huawei is Bae 😁😁.. iPhone is mchepukoSamsung is Bae..
Acha kufananisha na huo upupu wa infinix na tekno unaijua iphone au ninjaa za mchana!Mimi sitaki kujadili vingine kwenye hizo simu mbili. Nataka tujadili vioo tu.
Aiseee vioo vya Iphone viko kama Vya Tekno na Infiniksi. Nipo hapa kuwapopoa iphone users. Mje hata 100 hamtashinda huu mjadala.
iSheep nawasubiri.
Mkuu ushatumia Huawei kabla Visanga vya USA havijaanza?Acha kuota ndoto za mchana Eti Huawei!
Achana na hizo mkuu njoo iphone hotojuta trust me! Iphone inaongoza kwa kila kitu kwenye upande wa smartphones smartwatch na laptops au computer!Natumia samsung naona nitaendelea kutumia
Nikikumbuka jinsi ipod ilivyokua inanitesa kutafuta internet cafe yenye itunes ili kuweka nyimbo sitaki kurudi tena huko 😃 naona na simu zao ndio hivyo hivyo
Huawei huzijui mzee. Nimetumia simu kama Samsung, Huawei, na hizo iPhone. Huwa ni badilisha badilisha.. Kwa mtu anae jua simu hawezi beza Huawei hata kidogo. Labda kwa sasa hivi kwa jairi ya vikwazoCwezi tumia mchina mkuu haswa Huawei ambao ni cm ya hovyo unanishangaza sana kama nawewe ni mtumiaji wa Huawei!
Matumizi ya hizi device inatagemea mtu anafanya kazi ganiAchana na hizo mkuu njoo iphone hotojuta trust me! Iphone inaongoza kwa kila kitu kwenye upande wa smartphones smartwatch na laptops au computer!