Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

Hata me hii imenipa kigugumizi cha kuwaza..! Sabu pamoja na kuijua tech juu juu lakini ni zaidi ya kunisuprise..! Sio ma robot na hawa controliwi na binadamu..!! Wajuzi zaidi wa maswala ya Automotive waje watupe elimu..

Sent using Jamii Forums mobile app
I saw their videos japo hazikuwa na sauti yaani its like binadamu. Huyu kaonesha picha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli
Hawawezi
Hata sisi tungezaliwa wakubwa hivyo mambo mengi tusingeweza
Kujua ni stages mbalimbali unapitia vinginevyo watakuwa wameprogramiwa
Kwa hiyo ni robot tu
 
Mr Techtalk Tv Sal...jamaa yuko vizuri sana...nilifuatiaga taarifa zake za leaks za Samsung note 10...huawei mate 30...iphone 11 na google pixel 4 na 90% ya info zilikua za ukweli.
Aiseee nmeona hii kitu jana kwa Youtuber mmoja anajiita Sal ana channel hake youtube inaitwa TechatalkTV.

Hatari sana hao Neon.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona nilidhani ni kitu ambacho ni tangible kumbe siyo tangible actually ni platform na inasemekana itakuwa open source. Pili zile ni avatars ndiyo maana kumbe wanasema siyo robot ni animation ziko rendered in really time kuonyesha emotions na body movements.
Na kwasasa ndiyo mwanzo kwanza zikoo slow kurespond hazijafika kiwango cha binadamu
 
Wala siyo porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha buddy when you dive into the tech world you might get lost on who's who because the line between reality and fiction might be blurry sometimes....believe me I wish it was achievable lakini hio neon bado hawajatengeneza hata mmoja na wale wanaotrend mtandaon Kwenye zile video ni waigizaji....me mwenyewe ningetamani invisible phones ziwepo,iphone VR glasses,Neon but that's where we are going..we're not there yet don't get it twisted.
 
Sio kweli
Hawawezi
Hata sisi tungezaliwa wakubwa hivyo mambo mengi tusingeweza
Kujua ni stages mbalimbali unapitia vinginevyo watakuwa wameprogramiwa
Kwa hiyo ni robot tu
Ni platform siyo kitu tangible yani hizo ni animation ziko in real time rendering usidhani nikifaa utakinunua ukiweke ndani hapana ni platform tu
 
Hahaha buddy when you dive into the tech world you might get lost on who's who because the line between reality and fiction might be blurry sometimes....believe me I wish it was achievable lakini hio neon bado hawajatengeneza hata mmoja na wale wanaotrend mtandaon Kwenye zile video ni waigizaji....me mwenyewe ningetamani invisible phones ziwepo,iphone VR glasses,Neon but that's where we are going..we're not there yet don't get it twisted.
Unalosema ni kwei wale wanaoonyeshwa siyo kweli nimeona video ya walichotengeneza yani wakoslow na hawana hata hisia za binadamu yani wana mapungufu kweli na wala siyo kitu tangible ni real time animation rendering na unaongea nalo via mic ni kama vile una skye na mtu na linachukua muda kujibu na halikuwa so accurate yani bado kabisa
 
These are simply AI robots, code ya kwanza analishwa na binadamu, then anaanza kujifunza zaidi. Ni robot tu, hayo mengine majna yakibiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom