Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
technology inakua kwa kasi ila kutengeneza kitu kama binadamu aisee itachukua muda sana kufika huko kwanza reasoning ya binadamu you cannot compare a kitu chochote na jinsi binadamu anavyorespond ni balaa.ahaa nshakupata mkuu maana linaleta ukakasi kidogo
exactly na shukrani mkuutechnology inakua kwa kasi ila kutengeneza kitu kama binadamu aisee itachukua muda sana kufika huko kwanza reasoning ya binadamu you cannot compare a kitu chochote na jinsi binadamu anavyorespond ni balaa.
Hebu fikiria ni hesabu ngapi ubongo wako unafanya kwa siku pasipo hata wewe kuwa na habari mfano
Unataka kuvuka barabara unaona gari linakuja ubongo wako utacalculate speed ya gari na umbali lilipo ita calculate umbali kutoka upande ullipo mpaka upande wa pili na kujua utembee kwa speed gani ambayo utaweza vuka salama kabla gari halijakufkia vyote within milli seconds.
same applied ukiwa unatembea uko bsy unachat na simu lakini unaweza kukwepa vingingi na watu pasipo hata kutazama wala kuwa na habari.
Kwasasa wanasayansi wanadai binadamu ana more than 5 senses actually wanadai binadamu ana 24 senses.
hatutegemea kuona, kuhisi, kunusa, kusikia, na kushika kutambua vitu. kuna senses nyingine zipo na huwezi zieleza kabisa,
We are the most complicated thing kwakweli
Mojawapo wwAise!! Ukisoma hii comment section unaweza ukasema Tanzania ni nchi ya vilaza
Kwanini...ukilaza wangu u wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najiuliza maswali hapa sipati jibu
Wanaweza kuumwa kama mimi?
Wanahisi njaa kama mimi?
Au Wanaenda haja kama nyinyi?