Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

Kuumwa si sehemu ya maisha halisi ya watu maana watu tunaweza kuishi bila kuumwa tukifuata utaratibu wa asili wa jinsi ya kula.

Majibu kwa maswali mengine ni kutumia akili tuu.

We umetumia akili ndio umefikia mwisho kua kila gonjwa linalomshambulia binadamu basi ni lazima lisababishwe na chakula??

Akili gani hii? au yakuvukia barabara?

It's Scars
 
Najiuliza maswali hapa sipati jibu

Wanaweza kuumwa kama mimi?
NDIYO! We angalia tu zile Gari za Mkaa, ndo utapata jibu! Au kwani hujawahi kuona gari iko gereji?! Ukiona hivyo, ujue ndo inaumwa hiyo! Au hujaona Breakdown ikiwa imebeba gari gonjwa?
Wanahisi njaa kama mimi?
Ngoja nikuulize! Hivi ukiwa na ile njaa kweli kweli, huachagi kufanya kazi?! Na kama ni mtoto, hujawahi kuona anavyosusa kila anachotumwa kila anapojisikia njaa?! Kuwa na IST yako na isiipe chakula cha wese uone kama haitafanya kama hayo hapo juu!
Au Wanaenda haja kama nyinyi?
Ndo nimetoka kumwaga oil chafu sasa hivi!

Una lingine?
 
kama alivoelezea mtoa maada. Na kama unavowaona kwenye hizo picha

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnachanganya hata siyo watu ni platform tu yani unazungumza naye kwenye screen kama ya tv na wala siyo mtu ni real time rendered animation iliyocanganywaa na artificial intelligence usidhani utaweza kumshika. Kwanza hata hawajafika robo ya uwezo wa binadamu hata hizo emotions bado sana na wako slow hata kurespond. they are not tangible ni animation that unaongea nayo kwenye screen
 
Hivi sio kwamba wanakuwa kama program ndani ya device kama simu au computer?
 
Ukweli ulio wazi tumejisahau sana kama Taifa katika upande wa Teknolojia ....

Hakuna tafiti za kutosha ....hakuna uundaji na uvumbuzi wa vifaaa vya kisayansi

Vijana wapo kutafuta vumbi la kikongo , wengine wachumba wa kusex nao

Teknolojia ndio itakayoleta mapinduzi makweli ya viwanda !! .....pasipokuwa na teknolojia hakuna uhakika wa maisha ya kesho

Nilikuwa natamani sana tungeanza kuunda ndege hata za kubeba abiria km 60 hivi ,

Kukafanyika tafiti za kuunda treni ya umeme yenye kasi ..vijana wangechukua hatamu ingekuwa vizuri sana

Sent using i phone x
 
Baada ya miaka 30 ukoloni utarudi upya sababu hatuendani na kasi ya maendeleo ya dunia.

Mfano, wakati sisi tunapambana na kujenga barabara za lami, wenzetu wako kwenye mikakati ya kujenga frictionless roads. So baada ya miaka 10 hizi tarmac roads zitakuwa useless.

Unforgetable
frictionless gari zitatembeaje? Au watabadili na mfumo wa matairi.
 
Watu mnachanganya hata siyo watu ni platform tu yani unazungumza naye kwenye screen kama ya tv na wala siyo mtu ni real time rendered animation iliyocanganywaa na artificial intelligence usidhani utaweza kumshika. Kwanza hata hawajafika robo ya uwezo wa binadamu hata hizo emotions bado sana na wako slow hata kurespond. they are not tangible ni animation that unaongea nayo kwenye screen
ahaa nshakupata mkuu maana linaleta ukakasi kidogo
 
Back
Top Bottom