I saw their videos japo hazikuwa na sauti yaani its like binadamu. Huyu kaonesha picha tu.Hata me hii imenipa kigugumizi cha kuwaza..! Sabu pamoja na kuijua tech juu juu lakini ni zaidi ya kunisuprise..! Sio ma robot na hawa controliwi na binadamu..!! Wajuzi zaidi wa maswala ya Automotive waje watupe elimu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sample yao ni mimi. Me jogoo wangu anawika. Tunaweza kufanya majaribio.Vipi hao wa kiume jogoo ana wika?
😅😅😅Vipi hao wa kiume jogoo ana wika?
Aiseee nmeona hii kitu jana kwa Youtuber mmoja anajiita Sal ana channel hake youtube inaitwa TechatalkTV.
Hatari sana hao Neon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hao wa kiume jogoo ana wika?
Hahaha buddy when you dive into the tech world you might get lost on who's who because the line between reality and fiction might be blurry sometimes....believe me I wish it was achievable lakini hio neon bado hawajatengeneza hata mmoja na wale wanaotrend mtandaon Kwenye zile video ni waigizaji....me mwenyewe ningetamani invisible phones ziwepo,iphone VR glasses,Neon but that's where we are going..we're not there yet don't get it twisted.
Ni platform siyo kitu tangible yani hizo ni animation ziko in real time rendering usidhani nikifaa utakinunua ukiweke ndani hapana ni platform tuSio kweli
Hawawezi
Hata sisi tungezaliwa wakubwa hivyo mambo mengi tusingeweza
Kujua ni stages mbalimbali unapitia vinginevyo watakuwa wameprogramiwa
Kwa hiyo ni robot tu
Unalosema ni kwei wale wanaoonyeshwa siyo kweli nimeona video ya walichotengeneza yani wakoslow na hawana hata hisia za binadamu yani wana mapungufu kweli na wala siyo kitu tangible ni real time animation rendering na unaongea nalo via mic ni kama vile una skye na mtu na linachukua muda kujibu na halikuwa so accurate yani bado kabisaHahaha buddy when you dive into the tech world you might get lost on who's who because the line between reality and fiction might be blurry sometimes....believe me I wish it was achievable lakini hio neon bado hawajatengeneza hata mmoja na wale wanaotrend mtandaon Kwenye zile video ni waigizaji....me mwenyewe ningetamani invisible phones ziwepo,iphone VR glasses,Neon but that's where we are going..we're not there yet don't get it twisted.
Nisaidie kuwauliza na KUGEGEDA wanaweza?Najiuliza maswali hapa sipati jibu
Wanaweza kuumwa kama mimi?
Wanahisi njaa kama mimi?
Au Wanaenda haja kama nyinyi?
Waaaalaaaa sihangaiki ndugu yangu...Ni swali tuu nimeuliza nikitaka kujua...Pls kwa nn uhangaike na dude halijui kUpakia mkongo. Tuko here
Anaanzaje...Vipi hao wa kiume jogoo ana wika?
Wanashida hawa jamaaEti siyo maroboti!
wakoje mkuuAiseee nmeona hii kitu jana kwa Youtuber mmoja anajiita Sal ana channel hake youtube inaitwa TechatalkTV.
Hatari sana hao Neon.
Sent using Jamii Forums mobile app