Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Cheza na Waziri wa Israel anakwambia dawa moto ni moto
 
Pumbavu eti limekiuka sheria za kimataifa kule Ukraine bwana ake Putin hakukiuka sheria za kimataifa?
 
Iran anaita hilo ni shambulizi la kigaidi ili hali magaidi wake huichokoza Israel kwa kurumisha maroketi eti wanawatetea ndugu zao wa palestina wa kichapo Iran inasema Israel inakiuka Sheria za kimataifa ila magaidi wa Yemen wakilipua mameli na kuirushia Israel maroketi hakuna kelele
 
Washenzi wakija watakwambia Israel inawaogopa WAOUTH mara hamas mara Iran lakini me naona anapiga popote anapojisikia Yani popote halafu majamaa yamezoea mitanange kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…