Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kutoka kulindwa kwa mahericopiter mpaka kuwa lisanamuHiyo sanamu itajengwa, kwa sababu ipo kwenye kipaumbele cha walioshika mpiniView attachment 1845159
Wana hela za kuchezeaKubabeki aseee inauma mno hela zipo kibao ila zinaliwa na wajanja serikalini
TOTAL lossHapo ndo ujuwe Umuhimu wa KATIBA MPYAA
Lisanamu ni hasara tu....
Tunajenga UCHUMI kwanza ENDELEENI KUCHANGAWananchi mtandaoni wameamua kuchangishana fedha katika mtandao wa Twitter ili kuweza kununua mitungi ya Oksijeni kuokoa Uhai wa raia hospitalini.
Serikali wao wapo bize kutenga fedha za kuchonga Sanamu.View attachment 1845133
Laana ya kumchungulia Nuhu inatutafuna, sanamu haina umuhimu wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali tujenge chuo Cha VETA kupunguza tatizo la ajira. Sanamu inachakaa lakini elimu na maarifa hurithiwa toka kizazi kimoja Hadi kingine.Hii nchi ina laana nasema tuna laana
Swala la afya tunategemea wafadhiri Ila pesa ya kujenga sanamu tunayoo....
CCM ni ile ile, chama cha majambaziHii nchi ina laana nasema tuna laana
Swala la afya tunategemea wafadhiri Ila pesa ya kujenga sanamu tunayoo...
UnaumwaHata mitungi ingenunuliwa, bado mngesema kuwa hiyo mitungi imenunuliwa kwa kodi za watanzania kwahiyo hakuna la ajabu. Zilijengwa hospital na shule mkalalamika kuwa serikali imejenga hospital na shule bila kuangalia swala la miundombinu ambayo inahusisha barabara. Zilipojengwa barabara mkalalamika tena kuwa hamtaka maendeleo ya vitu kama vile shule, hospital, barabara nk, nyinyi mnahitaji tu ya watu. Kwahiyo sometimes serikali inabidi ifanye kile inachoona ni sawa tu kufanyika.