Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Injinia ameshasema yeye alijenga kwa zege.Upigaji kila sehemu.
π€£π€£π€£.injinia akamatwe
Yaani wewe ukishajifukiza tu moshi wako kichwani unaanza kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu πππKatika ulimwengu wa Roho hiyo ni ishara ya anguko la CCM chama alichoasisi na ambacho kimedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Alivyo mvupumba atabisha kwa kuandika aya kumi za ubishi.Katika ulimwengu wa Roho hiyo ni ishara ya anguko la CCM chama alichoasisi na ambacho kimedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Kwani hujuwi kuwa hiyo sanamu ina maana kubwa sana katika Historia ya Taifa letu πππpolice wa SISIEMU wanashindwa kupata watekaji, Wakafute sababu ya sanamu kivunjika,,,π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£β¦.
ππππ
Sio Chadee kweli??!!
Kwa vile wewe ni mtu wa mizimu ningekupa mistari ya Biblia inayothibitisha ninachosema,wewe endelea tu uchunaji ngozi maana ndiyo urithi wa ukoo wenu.Yaani wewe ukishajifukiza tu moshi wako kichwani unaanza kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu πππ
Bora kutolewa lijengwe la MagufuliNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Kumbe mnaweza kufuatikia masanamu yenye maana kwa historia kwenu,, ila uhai wa waTanzania hauna maana?Kwani hujuwi kuwa hiyo sanamu ina maana kubwa sana katika Historia ya Taifa letu πππ
Kweli dogo umechanganyikiwa kabisaa .na wewe unajuwa mambo ya Biblia?πππKwa vile wewe ni mtu wa mizimu ningekupa mistari ya Biblia inayothibitisha ninachosema,wewe endelea tu uchunaji ngozi maana ndiyo urithi wa ukoo wenu.
Ngoja nimuulize Mungu wa mbinguni hii maana yake ni nini?Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Wamesikitika sanaHawajabubujikwa na machozi?
Umeanza mambo yako ya utani baada ya kuweka vile vitu vya iringa kutoka kwenye mianziππNgoja nimuulize Mungu wa mbinguni hii maana yake ni nini?
Unazidi kudhihirisha upumbavu wako.Kweli dogo umechanganyikiwa kabisaa .na wewe unajuwa mambo ya Biblia?πππ
Uhuru, uzalendo na demokrasia ndio vinatoweka hivyo Tanzania, CCM na mama wajitafakari.Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308