Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

police wa SISIEMU wanashindwa kupata watekaji, Wakafute sababu ya sanamu kivunjika,,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣….

😂😂😂😂
 
Katika ulimwengu wa Roho hiyo ni ishara ya anguko la CCM chama alichoasisi na ambacho kimedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
Yaani wewe ukishajifukiza tu moshi wako kichwani unaanza kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu 😀😀😀
 
Kwani hujuwi kuwa hiyo sanamu ina maana kubwa sana katika Historia ya Taifa letu 😀😀😀
Kumbe mnaweza kufuatikia masanamu yenye maana kwa historia kwenu,, ila uhai wa waTanzania hauna maana?
Too sad,,,, ⏱️100 MG.
 
Angekua bado yupo yule mkuu wa mkoa wa Tabora Mwanri,
Ungesikia; "Injinia soma hiyoo,waliovunja sanamu wote sukuma ndani"
 
Back
Top Bottom