Kiroho ni anguko la chama chake limewadia.. Save ThisNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Karibu Msata Kilingeni upate tibaWewe endelea na kazi zako za masuala ya uganga na Ramli.
Kwani wewe unafikiri sanamu hiyo ilijengwa Mwaka gani? Ndio maana uchunguzi unataka kufanyika ili kubainisha chanzo cha kuanguka na kuvunjika kwa sanamu hilo.Wazee wa kuongeza sifuri, wanaumbuka mdogo mdogo. Hutasikia new york liberty statue limeanguka jiulize kwa nini.
Mtasubiri sana hizo ndoto zenu za mchana baada ya kulewa. CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu na huwezi ukaitenganisha CCM na Taifa letuKiroho ni anguko la chama chake limewadia.. Save This
Karibu Msata Kilingeni upate tiba
Alietengeneza kajenga low quality, ni nini hiko?Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Ni la miaka mingi na wala siyo la jana wala juzi.Alietengeneza kajenga low quality, ni nini hiko?
Mh, akili hizi shida sanaNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
😂Na masanamu yao yatafanana nao .
Ukiona sanamu la Nyerere linaanguka na kuvunjia hiyo ni dadili kuwa zile value za Nyerere ndio zinavunjwa hivyo na unajua Nyerere aliamini katika nini.Embu soma tena ulichoandika uone kama kinaendana na andiko langu.
Ngoja uchunguzi wa kina ufanyike ili tujuwe nini kimepelekea kuanguka kwa Sanamu hiyo.Inaonesha alievunja sanamu ana hasira na Nyerere kutokana na umaskini sasa kaamua kupiga sanamu lake!!
Sanamu limekatwa kichwa kabisa inaonekana ni kazi ya mtu, inaitwa "beheading" kwa kiEnglish!! Hii kali sana!!Ngoja uchunguzi wa kina ufanyike ili tujuwe nini kimepelekea kuanguka kwa Sanamu hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiLimeshindwa kuvumilia Yale yanayotokea katika nchi hii,limeona ni Bora kufa[emoji851][emoji851]
Dalili mbaya kwa ccm yaani mpaka 25 itapasuka vipandeNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Itakuwa ni mtu amefanya ujinga huoSanamu limekatwa kichwa kabisa inaonekana ni kazi ya mtu, inaitwa "beheading" kwa kiEnglish!! Hii kali sana!!
CCM ni imara na madhubuti kuliko wakati wowote uleDalili mbaya kwa ccm yaani mpaka 25 itapasuka vipande
Kianguke tu. KishachakaaKatika ulimwengu wa Roho hiyo ni ishara ya anguko la CCM chama alichoasisi na ambacho kimedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha waliangushe, Nyerere gani utafikiria kachunga nyusi