Kiroho ni anguko la chama chake limewadia.. Save ThisNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Upe muda wakati.. Save this postMtasubiri sana hizo ndoto zenu za mchana baada ya kulewa. CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu na huwezi ukaitenganisha CCM na Taifa letu
Kiroho ni anguko la chama chake limewadia.. Save ThisNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Duh😂Acha waliangushe, Nyerere gani utafikiria kachunga nyusi
Hiyo ni dalili za tanzania kusambalatika pande 3 chini ya ccm ya mjalaana samia ...kitendo cha sanamu kuvinjika kimemfurahisha sana samia maana anamchukia Nyerere na Karume kuliko JPMNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Unajua kwanini MJALAANA SAMIA anamchukia Nyerere na Karume kuliko JPM?Wamesikitika sana
Ndio litajengwaWajenge jingine.
Wewe ndiye mwenye laanaHiyo ni dalili za tanzania kusambalatika pande 3 chini ya ccm ya mjalaana samia ...kitendo cha sanamu kuvinjika kimemfurahisha sana samia maana anamchukia Nyerere na Karume kuliko JPM
Kipi hichoUnajua kwanini MJALAANA SAMIA anamchukia Nyerere na Karume kuliko JPM?
Wewe huipendi Tanzania, Mungu hupitia kwa wanadamu.Hii nchi nayo, mitume walikuja kuvunja masanamu
Wajinga ndiyo waliwao wanatuchongea masanamu.
Ni bora lilivyovunjika vunjika.
Hiyo laana yao itawarudia wenyewe.
Acha kuandika kashfa aiseeUnajua kwanini MJALAANA SAMIA anamchukia Nyerere na Karume kuliko JPM?
Siyo.Hili sio lile la Kigwangala kweli?
Utasubiri sana na haitatokeaMwisho wa CCM hakuna ubishi..
Na waandamanaji?Limevunjwa
How is this related to hilo sanamu?Polisi wa ccm hawana kazi wanapewa amri tu za kisiasa...mmmm wamepiga deal quality sasa wanasukumizia CDM khaaaa