Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
1 Samweli 5 (Biblia Takatifu)Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Uchunguzi unaendeleaKama halijavunjwa na mtu, hiyo ni bad Omen kwa nchi yetu...
Nimezingatia Tabora na historia ya uhuru wa Tanzania...
Vibaka tu aunwasiojulikanaNa waandamanaji?
Wente D only wata relate sio ....wajinga wote.....How is this related to hilo sanamu?
Ungeandika hata kwa kiswahili tu sentesi yote.Wente D only wata relate sio ....wajinga wote.....
Wenzako walibisha hivyo hivyo hadi chadema walinibishia mpumbavu mbowe akanibishia mpuuzi tundulisu akanibishia wakisema sa100 anaupiga mwingi ...ila kwa sasa wameanza kukili kuwa hicho kiumbe kimelaania...mimi nina tumia wasaha huu kuwakebei bado wewe hujakili ni swala la muda tu utakili kwa KUBUBUJIKWA NA MACHOZI YA DAMU UKIMWOMBA MUNGU WAKO AKUONDOLEE HICHO KIUMBE KILICHO LAANIKA MBELE YA MAISHA YAKO ..Subiri bwana abdul amalizie kazi yake ya kuunda kikosi chake cha mauaji very soon.Wewe ndiye mwenye laana
Kwa hiyo ukweli ni kashifa ? Tumia akili wewe zuzu wa ccm.Acha kuandika kashfa aisee
Naona umechanganyikiwa na kubakia kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongoWenzako walibisha hivyo hivyo hadi chadema walinibishia mpumbavu mbowe akanibishia mpuuzi tundulisu akanibishia wakisema sa100 anaupiga mwingi ...ila kwa sasa wameanza kukili kuwa hicho kiumbe kimelaania...mimi nina tumia wasaha huu kuwakebei bado wewe hujakili ni swala la muda tu utakili kwa KUBUBUJIKWA NA MACHOZI YA DAMU UKIMWOMBA MUNGU WAKO AKUONDOLEE HICHO KIUMBE KILICHO LAANIKA MBELE YA MAISHA YAKO ..Subiri bwana abdul amalizie kazi yake ya kuunda kikosi chake cha mauaji very soon.
Wakivunja masanamu wakabakiza lile jiwe jeusi pale maka wapumbavu na wajinga huenda kulitupia mawe kila mwakaHii nchi nayo, mitume walikuja kuvunja masanamu
Wajinga ndiyo waliwao wanatuchongea masanamu.
Ni bora lilivyovunjika vunjika.
Hiyo laana yao itawarudia wenyewe.
Kumbe machawa mmeshajihesabu!Endeleeni kuweweseka hivyo hivyo wakati Mama akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Umekosea. Kidogo. Jiwe. Jeusi la oembeni lipo Makkah, hilo halipigwi mawe.Wakivunja masanamu wakabakiza lile jiwe jeusi pale maka wapumbavu na wajinga huenda kulitupia mawe kila mwaka
Wewe sijui ni Mtu wa aina gani hufikirii mbeleni na jamii ijayo tena itakayozaliwa kwa kupandikiza mbegu. Hata vitabu vya Mungu vinabadilika sembuse uongozi, acha kujiapiza vitu usivyoelewa na hata wewe hujui kama kesho utakuwepo.Mtasubiri sana hizo ndoto zenu za mchana baada ya kulewa. CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu na huwezi ukaitenganisha CCM na Taifa letu
CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.Wewe sijui ni Mtu wa aina gani hufikirii mbeleni na jamii ijayo tena itakayozaliwa kwa kupandikiza mbegu. Hata vitabu vya Mungu vinabadilika sembuse uongozi, acha kujiapiza vitu usivyoelewa na hata wewe hujui kama kesho utakuwepo.
Sasa kwanini huwa mnajipiga mawe ?Umekosea. Kidogo. Jiwe. Jeusi la oembeni lipo Makkah, hilo halipigwi mawe.
Kunakopigwa mawe ni minara mifupi ya kujengwa tu kuadhitiw hapo ndipo alipopigwa mawe shetani. Katuja mji uitwao Mina.
Mina, iliyopewa jina la utani "Jiji la Mahema," ni bonde lililoko kilomita 8 kusini mashariki mwa mji wa Makkah, katika wilaya ya Masha'er, mkoa wa Makkah katika kanda ya Hejazi, Saudi Arabia.
Badala ya minara lingewekwa hilo sanamu lilibomoka=bomoka Tabora.