Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

1 Samweli 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Na watu wa Ashdodi, walipoamka alfajiri siku ya pili, kumbe! Dagoni imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la Bwana. Wakaitwaa Dagoni, wakaisimamisha mahali pake tena.
⁴ Hata walipoamka kesho yake asubuhi, kumbe! Dagoni ilikuwa imeanguka chini kifudifudi, mbele ya sanduku la Bwana; na kichwa chake Dagoni na vitanga vya mikono yake vyote viwili vimekatika, vipo vimelala kizingitini; Dagoni ikasalia kiwiliwili chake tu.
 
Wewe ndiye mwenye laana
Wenzako walibisha hivyo hivyo hadi chadema walinibishia mpumbavu mbowe akanibishia mpuuzi tundulisu akanibishia wakisema sa100 anaupiga mwingi ...ila kwa sasa wameanza kukili kuwa hicho kiumbe kimelaania...mimi nina tumia wasaha huu kuwakebei bado wewe hujakili ni swala la muda tu utakili kwa KUBUBUJIKWA NA MACHOZI YA DAMU UKIMWOMBA MUNGU WAKO AKUONDOLEE HICHO KIUMBE KILICHO LAANIKA MBELE YA MAISHA YAKO ..Subiri bwana abdul amalizie kazi yake ya kuunda kikosi chake cha mauaji very soon.
 
Naona umechanganyikiwa na kubakia kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
 
Hii nchi nayo, mitume walikuja kuvunja masanamu
Wajinga ndiyo waliwao wanatuchongea masanamu.

Ni bora lilivyovunjika vunjika.

Hiyo laana yao itawarudia wenyewe.
Wakivunja masanamu wakabakiza lile jiwe jeusi pale maka wapumbavu na wajinga huenda kulitupia mawe kila mwaka
 
Umekosea. Kidogo. Jiwe. Jeusi la oembeni lipo Makkah, hilo halipigwi mawe.

Kunakopigwa mawe ni minara mifupi ya kujengwa tu kuadhitiw hapo ndipo alipopigwa mawe shetani. Katuja mji uitwao Mina.

Mina, iliyopewa jina la utani "Jiji la Mahema," ni bonde lililoko kilomita 8 kusini mashariki mwa mji wa Makkah, katika wilaya ya Masha'er, mkoa wa Makkah katika kanda ya Hejazi, Saudi Arabia.

Badala ya minara lingewekwa hilo sanamu lilibomoka=bomoka Tabora.
 
Si ishara njema wa utawala, muungano na umoja wetu kama tanzania.
 
Mtasubiri sana hizo ndoto zenu za mchana baada ya kulewa. CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu na huwezi ukaitenganisha CCM na Taifa letu
Wewe sijui ni Mtu wa aina gani hufikirii mbeleni na jamii ijayo tena itakayozaliwa kwa kupandikiza mbegu. Hata vitabu vya Mungu vinabadilika sembuse uongozi, acha kujiapiza vitu usivyoelewa na hata wewe hujui kama kesho utakuwepo.
 
Kama limevunjika ni ishara mbaya kwa Uongozi....ila kama limevunjwa bas watu wanamlaumu kwa kuianzisha CCM
 
Wewe sijui ni Mtu wa aina gani hufikirii mbeleni na jamii ijayo tena itakayozaliwa kwa kupandikiza mbegu. Hata vitabu vya Mungu vinabadilika sembuse uongozi, acha kujiapiza vitu usivyoelewa na hata wewe hujui kama kesho utakuwepo.
CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM.
 
Hiyo ni ishara mbaya , rejea kwenye biblia takatifu habari ya Mungu Dagoni nini kilifata baada ya kuanguka na kuvunjika
 
Umekosea. Kidogo. Jiwe. Jeusi la oembeni lipo Makkah, hilo halipigwi mawe.

Kunakopigwa mawe ni minara mifupi ya kujengwa tu kuadhitiw hapo ndipo alipopigwa mawe shetani. Katuja mji uitwao Mina.

Mina, iliyopewa jina la utani "Jiji la Mahema," ni bonde lililoko kilomita 8 kusini mashariki mwa mji wa Makkah, katika wilaya ya Masha'er, mkoa wa Makkah katika kanda ya Hejazi, Saudi Arabia.

Badala ya minara lingewekwa hilo sanamu lilibomoka=bomoka Tabora.
Sasa kwanini huwa mnajipiga mawe ?
 
Back
Top Bottom