Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mapigo ya moyo yanakuwa yamesimama, hakuna mzunguko wa damu, mwili unakuwa wa baridi. Hicho ndicho kifo.Wewe Kifo Kwako Una Kitafsiri vip?
Mapigo ya moyo yanakuwa yamesimama, hakuna mzunguko wa damu, mwili unakuwa wa baridi. Hicho ndicho kifo.
Nimesoma hii comment yako ... kisha kikarudi kweye avast yako ... nkajisemea kweli ukikaudi utapigwa 2Kati ya kuumba mifupa from nowhere na kufufua mifupa decayed ipi kazi rahisi?
Mkuu,wakati mwingine hao unaojibizana nao uwe unaangalia hata wanavyoandika ili upime uelewa wao uko level gani.Sasa hujaniambia shida unakuja kurukia kwamba nina matatizo ya akili. Mzee usilazimishe vitu vyenye shida kwako viwe shida kwa wengine.
Jaribu kuficha upumbavu. Shida kwako kwangu siyo shida.
Asante sana.Mkuu,wakati mwingine hao unaojibizana nao uwe unaangalia hata wanavyoandika ili upime uelewa wao uko level gani.
Kwa mtazamo wangu huyo mtu akiwa kajitahidi sana basi kaishia darasa la tatu primary, sasa kuchalenjiana nae kwenye mambo yenye uhitaji wa tafakuri kubwa namna hii ni sawa na kujaza pipa maji kwa kutumia kizibo cha soda.
Kwahiyo tukienda makaburini kuzika hatuziki bin adam. Unajua neno binadamu limetokana na nini!?Hicho Ni Kifo Cha Mwili Na Binadamu Sio Mwili
Mjadala Huru.....Kwanini uzuie hoja? Ni kivipi utaongelea Mwisho bila kutazama Mwanzo wake🤔.Mimi naongelea kifo ni mwisho, wewe unaouliza kuzaliwa na mwanzo. Kifo na kuzaliwa ni vitu viwili tofauti.
Tuongelee kufa sio kuzaliwa.
mkuu unaamini hivo baada ya kuaminishwa hivo na mafundisho uloyapata bt je, usingepata hayo mafundisho ungekua na mtizamo huo?Mimi naamini Mungu mmoja na kufufuliwa kupo.
Na nitakuja kulipwa kwa matendo yangu
Kiasili binadamu ameumbwa anamjua Mungu wake.mkuu unaamini hivo baada ya kuaminishwa hivo na mafundisho uloyapata bt je, usingepata hayo mafundisho ungekua na mtizamo huo?
how? elezea.Kiasili binadamu ameumbwa anamjua Mungu wake.
Ila kadri anavyokuwa ndo anaanza kubadilika
Mtoto mdogo anatoka kwa Mungu.how? elezea.
mbona umeshindwa kuitetea hoja yako mkuu?Mtoto mdogo anatoka kwa Mungu.
Ndo maana waislam Wana msemo.
Sisi NI wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea
sijajua unapata tabu wapi.kiasili tunatakiwa tumuabudu mungu.mbona umeshindwa kuitetea hoja yako mkuu?
Ili tukubaliane na hiyo biology yako Hebu hiyo scientific process ifanyike from nowhere.Maana kama ina starting point yupo aliyeiweka hiyo starting point au nature au whatever the name.Maana kila kitu kina chanzo.Sasa huyo aloweweka chanzo ndo wenzio tunamuita Mungu mwenye enzi na uwezo wote.Kwani mifupa kumbe iliubwa!? Mimi sikujua hilo. Kwa mujibu wa biology mifupa ni scientific process na siyo kuumbwa.
Nani aliiumba mifupa!?
Hiyo picha uko ukurasa gani wa Biblia?