Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Sasa hujaniambia shida unakuja kurukia kwamba nina matatizo ya akili. Mzee usilazimishe vitu vyenye shida kwako viwe shida kwa wengine.
Jaribu kuficha upumbavu. Shida kwako kwangu siyo shida.
Mkuu,wakati mwingine hao unaojibizana nao uwe unaangalia hata wanavyoandika ili upime uelewa wao uko level gani.

Kwa mtazamo wangu huyo mtu akiwa kajitahidi sana basi kaishia darasa la tatu primary, sasa kuchalenjiana nae kwenye mambo yenye uhitaji wa tafakuri kubwa namna hii ni sawa na kujaza pipa maji kwa kutumia kizibo cha soda.
 
Asante sana.
 
Mimi naongelea kifo ni mwisho, wewe unaouliza kuzaliwa na mwanzo. Kifo na kuzaliwa ni vitu viwili tofauti.

Tuongelee kufa sio kuzaliwa.
Mjadala Huru.....Kwanini uzuie hoja? Ni kivipi utaongelea Mwisho bila kutazama Mwanzo wake🤔.
 
Mimi naamini Mungu mmoja na kufufuliwa kupo.
Na nitakuja kulipwa kwa matendo yangu
mkuu unaamini hivo baada ya kuaminishwa hivo na mafundisho uloyapata bt je, usingepata hayo mafundisho ungekua na mtizamo huo?
 
mkuu unaamini hivo baada ya kuaminishwa hivo na mafundisho uloyapata bt je, usingepata hayo mafundisho ungekua na mtizamo huo?
Kiasili binadamu ameumbwa anamjua Mungu wake.
Ila kadri anavyokuwa ndo anaanza kubadilika
 
Alama Ya Amani Ya Njiwa Mweupe siku hizi haitumiki tena ? Sasa hawa UN Kutuletea dubwasha hilo kuwa ndo alama ya amani maana yake nini?
 
Kwani mifupa kumbe iliubwa!? Mimi sikujua hilo. Kwa mujibu wa biology mifupa ni scientific process na siyo kuumbwa.
Nani aliiumba mifupa!?
Ili tukubaliane na hiyo biology yako Hebu hiyo scientific process ifanyike from nowhere.Maana kama ina starting point yupo aliyeiweka hiyo starting point au nature au whatever the name.Maana kila kitu kina chanzo.Sasa huyo aloweweka chanzo ndo wenzio tunamuita Mungu mwenye enzi na uwezo wote.
 
Danieli 7 : 2 - 4 " Danieli akanena, akisema, Niliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa. Ndipo wanyama wakubwa wanne wakatoka baharini, wote wa namna mbalimbali. Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai; nikatazama, hata mabawa yake akanyonyoka manyoya, akainuliwa katika nchi, akasimamishwa juu kwa miguu miwili kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu. "
 
Ufunuo 13:2 " Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu. "

Kama wewe sio msomaji wa biblia , basi utaambulia patupu , kwa sababu biblia haipo kama stori za Alfu lela ulela.
Biblia ina hidden codes , lazima kwanza utoe sadaka muda wako na energy yako ndipo utafumbuliwa na Roho mtakatifu.
Ukitaka kuichambua biblia kwa akilia zako mwenyewe na busara zako mwenyewe itakuonesha kuwa wewe ni mpumbavu na sio mjinga
 
Back
Top Bottom