Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Kumbe unajua kuna mapepo?Kwani shida ya samu hiyo ni nini!?
Kama unaogopa sanamu tu iliyotengenezwa kwa plastic, chuma na udongo mapepo yakija utaweza kupambana nayo kweli!?
Eti bone formation ni scientific process haka kajamaa Venus Star kamemaliza boom la serikali bureScientific process ipi?
Yaani wewe na hako kadigrii chako uchwara cha kata unataka kujitia unajua sana?
Haha
Yaani hawa watu sijui wanadhani sisi ni mbumbumbu sana,dubwasha hili litaletaje amani kama sio extermination ya humanity.View attachment 2052642
Ufunuo 13:2 BHN
Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu
DANIELI 7
Wanyama wanne wakubwa
1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni, Danieli aliota ndoto na kuona maono akiwa amelala kitandani mwake. Aliiandika ndoto yake hii:
2“Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu. 3 Wanyama wakubwa wanne, wakainuka kutoka humo baharini, kila mmoja tofauti na mwenzake. 4 Mnyama wa kwanza alikuwa kama simba, na alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikiwa namwangalia, mabawa yake yalingolewa, naye akainuliwa na kusimama kwa miguu miwili kama binadamu. Kisha, akapewa akili ya binadamu.
5“Mnyama wa pili alikuwa kama dubu ambaye upande wake mmoja ulikuwa umeinuka. Kinywani mwake alikuwa na mbavu tatu alizozishikilia kwa meno yake. Sauti ikamwambia, ‘Haya, kula nyama nyingi kadiri uwezavyo.’
6“Baada ya hayo, nilimwona mnyama mwingine. Huyu alikuwa kama chui mwenye mabawa manne ya ndege mgongoni mwake. Alikuwa na vichwa vinne na alipewa mamlaka.
7 “Kisha, katika maono yangu hayo ya usiku nikamwona mnyama wa nne wa ajabu na wa kutisha, mwenye nguvu sana. Huyu alikuwa na meno makubwa ya chuma ambayo aliyatumia kula na kuvunjavunja, na mabaki aliyakanyagakanyaga kwa nyayo zake. Alikuwa tofauti na wale wanyama wengine watatu, kwani alikuwa na pembe kumi. 8 Nilipokuwa naziangalia hizo pembe, niliona upembe mwingine mdogo ukiota miongoni mwa zile kumi. Ili kuupa nafasi upembe huu zile pembe nyingine tatu zilingolewa pamoja na mizizi yake. Ulikuwa na macho ya binadamu na kinywa kilichotamka maneno ya kujigamba.
View attachment 2051687
View attachment 2051688
View attachment 2051689
Huna haja ya kuficha, jina lako la kimtandao na avatar yako tells it all.Na kama imani yako haina shida,kwa nini ufiche?Aisee!! Mbona tunazunguka zunguka ndugu. Nimekuambia imani ni kitu binafsi kina nihusu mimi. Kama wewe umeamua kuweka imani yako public basi is up to you. Unaweza kutuambia imani yako!?
Kuna mataahira wengine wanaamini mwenge unaleta amaniYaani hawa watu sijui wanadhani sisi ni mbumbumbu sana,dubwasha hili litaletaje amani kama sio extermination ya humanity.
Ni utaahira Bubuji.Mwenge ni ushetani mtupu.Kuna mataahira wengine wanaamini mwenge unaleta amani
Isaya 50:11Ni utaahira Bubuji.Mwenge ni ushetani mtupu.
Wewe unayejielewa mwenzetu tuambie hilo sanamu usoni linalofanana na Chui mwenye hasira kali lina-maanisha nini?Wazungu wanawavuruga msiojielewa kwelikweli. Siku mkiamka mtakuta washaihama hii sayari.
Kwahiyo tukienda makaburini kuzika hatuziki bin adam. Unajua neno binadamu limetokana na nini!?
Acha kupotosha wewe mbumbumbu. Unaelewa maana ya bin adam kweli Mzee!?Kinachozikwa ni mwili na sio bin adam,
Acha kupotosha wewe mbumbumbu. Unaelewa maana ya bin adam kweli Mzee!?
Hapo unaposema kueleweshwa umenena vyema; sawa!?Wewe Unaezani unaelewa na sisi wengine mambumbumbu ndo utuelewesha sasa
Na hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela,Kama wewe sio msomaji wa biblia , basi utaambulia patupu , kwa sababu biblia haipo kama stori za Alfu lela ulela.
Biblia ina hidden codes , lazima kwanza utoe sadaka muda wako na energy yako ndipo utafumbuliwa na Roho mtakatifu.
Ukitaka kuichambua biblia kwa akilia zako mwenyewe na busara zako mwenyewe itakuonesha kuwa wewe ni mpumbavu na sio mjinga
Kwanza kabisa MUNGU alimuumba mwanadamu kwa mfano wake (yani Umungu) , akampa nafasi ya kuchagua kuishi katika mabaya ambao mshahara wake ni motoni na kuishi katika mema ambapo mshahara wake ni mbinguNa hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela,
Kwani mkikubali tu kwamba mavitabu yenu yamejaa mapungufu kuna shida gani?
Yaani eti Mungu huyohuyo aandae Moto wa Jehanamu mwenyewe ili wadhambi awachome,
Halafu yeye huyohuyo Mungu/Yesu anakuja kuwafia watu ili awaokoe na moto aliouandaa yeye mwenyewe.
Sasa hizi kama si hadithi za kijinga ni nini?
KipofuHakuna utabiri. Siku ya mwisho ni siku ya kifo cha mtu.
Hamna [emoji2955] hacha chenga.Mwenyezi Mungu anasema ATAKUJA KUTUFUFUA na kutulipa kwa matendo yety tuliyoyafanya duniani.
Wewe hauamini?
Hamna [emoji2955] hacha chenga.
Hao wote MUNGU WAO MMOJA.Mwenyezi Mungu yupi!?
1. Wa wayahudi
2. Wa wakristo
3. Wa waislam
4. Wa wahindu
5. Wa wabudha
6. Wa confuism
7. Wa Taoism
Yupi unayemuongelea anakuja kufufua mifupa iliyooza na mingine decayed, imeliwa na funza!? Na kuwa mbolea.