Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Kwani shida ya samu hiyo ni nini!?
Kama unaogopa sanamu tu iliyotengenezwa kwa plastic, chuma na udongo mapepo yakija utaweza kupambana nayo kweli!?
Kumbe unajua kuna mapepo?

Na hapo hapo unakataa uwepo wa mashetani?

Wewe ni bwege ama?
 
View attachment 2052642

Ufunuo 13:2 BHN​

Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu

DANIELI 7​

Wanyama wanne wakubwa
1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni, Danieli aliota ndoto na kuona maono akiwa amelala kitandani mwake. Aliiandika ndoto yake hii:
2“Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu. 3 Wanyama wakubwa wanne, wakainuka kutoka humo baharini, kila mmoja tofauti na mwenzake. 4 Mnyama wa kwanza alikuwa kama simba, na alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikiwa namwangalia, mabawa yake yalingolewa, naye akainuliwa na kusimama kwa miguu miwili kama binadamu. Kisha, akapewa akili ya binadamu.
5“Mnyama wa pili alikuwa kama dubu ambaye upande wake mmoja ulikuwa umeinuka. Kinywani mwake alikuwa na mbavu tatu alizozishikilia kwa meno yake. Sauti ikamwambia, ‘Haya, kula nyama nyingi kadiri uwezavyo.’
6“Baada ya hayo, nilimwona mnyama mwingine. Huyu alikuwa kama chui mwenye mabawa manne ya ndege mgongoni mwake. Alikuwa na vichwa vinne na alipewa mamlaka.
7 “Kisha, katika maono yangu hayo ya usiku nikamwona mnyama wa nne wa ajabu na wa kutisha, mwenye nguvu sana. Huyu alikuwa na meno makubwa ya chuma ambayo aliyatumia kula na kuvunjavunja, na mabaki aliyakanyagakanyaga kwa nyayo zake. Alikuwa tofauti na wale wanyama wengine watatu, kwani alikuwa na pembe kumi. 8 Nilipokuwa naziangalia hizo pembe, niliona upembe mwingine mdogo ukiota miongoni mwa zile kumi. Ili kuupa nafasi upembe huu zile pembe nyingine tatu zilingolewa pamoja na mizizi yake. Ulikuwa na macho ya binadamu na kinywa kilichotamka maneno ya kujigamba.

View attachment 2051687


View attachment 2051688


View attachment 2051689
Yaani hawa watu sijui wanadhani sisi ni mbumbumbu sana,dubwasha hili litaletaje amani kama sio extermination ya humanity.
 
Aisee!! Mbona tunazunguka zunguka ndugu. Nimekuambia imani ni kitu binafsi kina nihusu mimi. Kama wewe umeamua kuweka imani yako public basi is up to you. Unaweza kutuambia imani yako!?
Huna haja ya kuficha, jina lako la kimtandao na avatar yako tells it all.Na kama imani yako haina shida,kwa nini ufiche?
 
Wazungu wanawavuruga msiojielewa kwelikweli. Siku mkiamka mtakuta washaihama hii sayari.
 
Wazungu wanawavuruga msiojielewa kwelikweli. Siku mkiamka mtakuta washaihama hii sayari.
Wewe unayejielewa mwenzetu tuambie hilo sanamu usoni linalofanana na Chui mwenye hasira kali lina-maanisha nini?
 
Wewe Unaezani unaelewa na sisi wengine mambumbumbu ndo utuelewesha sasa
Hapo unaposema kueleweshwa umenena vyema; sawa!?
Kwanza unatakiwa kuandika "Unaedhani" sio Unezani.
Neno dhani, dhana, dhania nk.

Sasa unataka nikufundishe kitu gani!?
 
Kama wewe sio msomaji wa biblia , basi utaambulia patupu , kwa sababu biblia haipo kama stori za Alfu lela ulela.
Biblia ina hidden codes , lazima kwanza utoe sadaka muda wako na energy yako ndipo utafumbuliwa na Roho mtakatifu.
Ukitaka kuichambua biblia kwa akilia zako mwenyewe na busara zako mwenyewe itakuonesha kuwa wewe ni mpumbavu na sio mjinga
Na hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela,
Kwani mkikubali tu kwamba mavitabu yenu yamejaa mapungufu kuna shida gani?

Yaani eti Mungu huyohuyo aandae Moto wa Jehanamu mwenyewe ili wadhambi awachome,

Halafu yeye huyohuyo Mungu/Yesu anakuja kuwafia watu ili awaokoe na moto aliouandaa yeye mwenyewe.

Sasa hizi kama si hadithi za kijinga ni nini?
 
Na hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela,
Kwani mkikubali tu kwamba mavitabu yenu yamejaa mapungufu kuna shida gani?

Yaani eti Mungu huyohuyo aandae Moto wa Jehanamu mwenyewe ili wadhambi awachome,

Halafu yeye huyohuyo Mungu/Yesu anakuja kuwafia watu ili awaokoe na moto aliouandaa yeye mwenyewe.

Sasa hizi kama si hadithi za kijinga ni nini?
Kwanza kabisa MUNGU alimuumba mwanadamu kwa mfano wake (yani Umungu) , akampa nafasi ya kuchagua kuishi katika mabaya ambao mshahara wake ni motoni na kuishi katika mema ambapo mshahara wake ni mbingu

Motoni haikutengenezwa kwa ajili ya binadamu , motoni ilikuwa ni kwa ajili ya shetani. Adam ndiye aliyesabisha wanadamu kuingia motoni baada ya kuchagua mabaya yaani pale alipodanganywa na shetani ale tunda na afanane na MUNGU , na ikumbukwe shetani (malaika walioasi) nao walifukuzwa mbinguni na kuhukumiwa kwenda motoni kwa sababu ya kutaka kuwa MUNGU na kuupinduwa utawala wa MUNGU

Pili swala la Biblia , Hakuna kitu kwenye Biblia kitafutika , yale yalioandikwa yatatimia .

Na nimeona pia hujui tofauti kati ya MUNGU na Yesu , Yesu ni mwana wa kwanza wa MUNGU , ndiye wa kwanza kuumbwa na MUNGU kabla hajaumba chochote kile kati ya mbingu na malaika . Na Yesu ndiye aliyefanya uumbaji , kwa kupitia nguvu ya MUNGU . Na yeye ndiye Masiha . Na kila goti litapigwa siku ya mwisho kwa sababu MUNGU amemfanya kuwa mfalme

Jina La Yesu , likitajwa Mapepo(Majini) yanapiga kelele za maumivu. Jina La Yesu likitajwa wenye imani wanapona UKIMWI , KISUKARI , KANSA na magonjwa yalioshindikana. HAKUNA JINA LENYE NGUVU KAMA JINA LA YESU
 
Mleta mada katoa hayo maandiko kwenye BIBLIA.ebu Soma hizo Aya.
Hamna [emoji2955] hacha chenga.
Screenshot_20211224-171158.jpg
 
Mwenyezi Mungu yupi!?
1. Wa wayahudi
2. Wa wakristo
3. Wa waislam
4. Wa wahindu
5. Wa wabudha
6. Wa confuism
7. Wa Taoism
Yupi unayemuongelea anakuja kufufua mifupa iliyooza na mingine decayed, imeliwa na funza!? Na kuwa mbolea.
Hao wote MUNGU WAO MMOJA.
Kwani dunia na vilivyomo vimeumbwa na Mungu wangapi?
 
Back
Top Bottom