Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Mzee unaniletea aya zilizoandikwa na watu kama mimi na wewe, upo serious kweli!?
Tumia akili yako vizuri siyo kulishwa matango pori.

Nimekuuliza hivi; unayo proof ya kuonesha dunia iliumbwa!? Na unaweza kutueleza iliumbwa lini!?
Nadhani wewe ndo unatakiwa ulete PROOF kuwa Mungu hajaumba dunia.
Mimi nimekuletea maneno ya Quran ambayo ni ya mwenyezi Mungu.
Sasa Basi Kama unamjua mwenye dunia Yake tofauti na mwenyezi Mungu unayemjua wewe.MTAJE.
 
Mzee hebu acha porojo. Lini huyo unayemwita Mungu aliandika vitabu!?
Ondoa ufia dini na porojo za jua kuzama kwenye matope.
 
Mzee hebu acha porojo. Lini huyo unayemwita Mungu aliandika vitabu!?
Ondoa ufia dini na porojo za jua kuzama kwenye matope.
Ujue wewe NI mtu mzima.
Nitakupa mfano mmoja umepita sehemu ukaona nyumba nzuri ukamkuta mzee ukamuuliza hii nyumba ni ya Nani?
Yule mzee akakujibu hii nyumba ni yangu.wewe ukasema hapana hii nyumba sio yako.sasa Basi ili Yule mzee aonekane muongo unatakiwa wewe unayekataa umtajie hyo nyumba ni ya Nani.
Mungu amesema hii dunia ni yake wewe unambishia.wewe ndo unatakiwa utoe PROOF kuwa Mungu anasema uongo hii dunia sio take NI ya mzee Fulani wa ifakara
 
Sasa kama mtu anasema Nyumba yake anatakiwa atoe proof yeye anayedai kuwa Nyumba yake.
Anatakiwa atoe vyeti vya kuthibitisha hivyo.

Mzee mambo ya Mungu ni ya kwako tu.
 
Sasa kama mtu anasema Nyumba yake anatakiwa atoe proof yeye anayedai kuwa Nyumba yake.
Anatakiwa atoe vyeti vya kuthibitisha hivyo.

Mzee mambo ya Mungu ni ya kwako tu.
Kwani wewe dunia si unaiona?,
Miti si unaiona?wanyama si unawaona?,bahari si unaiona?samaki si unawaona?
Sasa Mungu anasema yeye ndo kaumba.yeye ndo kaviweka Sasa wewe unayebisha ndo utueleze Kama hivi vitu sio vya Mungu tuambie ni vya Nani?
 
Kasema lini Mzee!?
 
Kuran 6 : 101
.…...... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?….........
Huwa na mpinga Muhammad na dini yake ya Uislamu ,

Kwa mfano mstari huo hapo juu , amepotosha MUNGU Hana mwana ,

Kwa nini?

Kwanza kabisa tunatakiwa kujua MUNGU ni roho na Hana mwili.

Pia sisi ni roho na sio mwili.
Mwili ni boksi la kuwekea roho.
Mwili huoza Ila roho huishi mile.
Kinachopewa Jina ni roho na sio mwili , ndo mana kipindi cha mazishi wanasema " mwili wa Joseph(marehemu) utazikwa " na sio Joseph atazikwa.

Watoto wa MUNGU(Baba) ni wale watu wema, na watapata Urithi wa kuishi mbinguni pamoja na baba yao. Swali: Je MUNGU kazaa , mbona anawaita watu wema ni watoto wake?

Watoto wa shetani ni wale watu waovu . Na watarithi sehemu baba yao shetani , ambapo sehemu yao ya urithi ni motoni? Swali: Je shetani kazaa, kwanini wanaitwa watoto wa shetani?

Kwa hiyo tunaona roho inaweza ikazaliwa zaidi ya mara mbili.
Kwa mfano unaweza kumuona , Leo Rehema ni kahaba aliyekubuhu, na mwenye Kila sifa ya kuitwa ni Mtoto wa shetani , Endapo akizaliwa mara ya pili katika MUNGU basi anaweza akawa ni mtu wa tofauti sana na akawa amevaa usuhusika(character) ambao hata mtu wake wake wa karibu sana atamshangaa .

Pili , Yesu hakuzaliwa Kwa tamaa ya baba na mama.
Yesu ndiyo kazi ya MUNGU ya ya Kwanza ya uumbaji na yeye ndiye kaka wa Kila kilichoumbwa na MUNGU.
Yesu alikuwepo hata Kabla ya mbingu na malaika na Dunia kuumbwa.
Na ikumbukwe Yesu ni Roho ,
Maria alitumika kumpa Yesu mwili, Yani kumpa boksi la Roho.

Kuna vitu vingi nampinga Muhammad karibia vyote:

Kwa Kusema MUNGU aliumba majini( malaika walioasi mbinguni) ili yamsujudie.

Shetani alikuwa hivyo sababu hakutaka kumsujudia mwanadamu ( MUNGU pekee ndiyo wa kujudiwa na sio kikuu chochote ). Na sababu ya kufuzwa Kwa malaika waovu(mbinguni) ni kutaka kuupindua ufalme wa MUNGU.

Kwa kusema Yesu hakusulubiwa na Wala hakuteswa Ila alidanganya . Hii inafunja lengo Zima la ahadi ya MUNGU aliyompa Adam kuwa atakuja kuwaokoa kizazi chake Kwa kupitia mwana wake wa pekee aliye mbinguni.
- Pia tunaona Petro alipotaka Yesu asisulubiwe , Yesu alimkemea Petro na kumwambia huyo ni shetani na sio wewe. Kwa sababu angazuia lengo Zima la Yesu kuja duniani
 
Kwa hyo yesu alifurahia KIFO CHAKE?
 
Kwa hyo yesu alifurahia KIFO CHAKE?
Ninakujibu kwa mfano wa mwanafunzi:
Ni mwili wa nani unampenda kukesha na ku-solve maswali MDA wote. Lakini vipi kuhusu target yako ambayo itautoa mwili sadaka lakini italeta faida kubwa?

Mwili na roho ni maadui wakubwa endapo kama roho hatokua msimazi.

Mwili unampenda unizinifu na raha zote za Dunia hii , Lakini ni tofauti Kwa roho
 
mbona jibu haliendani na swali.
Yesu alifurahia KIFO CHAKE?
 
mbona jibu haliendani na swali.
Yesu alifurahia KIFO CHAKE?
Ndio . Alifurahia.

Kwa sababu alitimiza lengo lilomleta duniani .

Pia Kuna vikwazo alivishinda kama kujaribiwa na shetani na kuahidiwa kuwa pewa Kila starehe ya Dunia endapo akimsujudia shetani.
 
Soma aya ya 24.
Kwanini yesu alimlaani yuda kuwa Bora asingezaliwa?
Ndio . Alifurahia.

Kwa sababu alitimiza lengo lilomleta duniani .

Pia Kuna vikwazo alivishinda kama kujaribiwa na shetani na kuahidiwa kuwa pewa Kila starehe ya Dunia endapo akimsujudia shetani.
 
hii vita ni ya watu wangapi mbona kumechafuka hivyoooo,
Dini hazitufikishi Mbinguni na dini ya kweli ni Imani yako na matendo yako.
 
hii vita ni ya watu wangapi mbona kumechafuka hivyoooo,
Dini hazitufikishi Mbinguni na dini ya kweli ni Imani yako na matendo yako.
Hauwezi kuwa na matendo mazuri bila kumjua Mungu.
Hata kuamini miti kuwa Mungu ni imani,Ila imani ya kweli NI kumjua MUNGU MMOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…