Kuran 6 : 101
.…...... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?….........
Huwa na mpinga Muhammad na dini yake ya Uislamu ,
Kwa mfano mstari huo hapo juu , amepotosha MUNGU Hana mwana ,
Kwa nini?
Kwanza kabisa tunatakiwa kujua MUNGU ni roho na Hana mwili.
Pia sisi ni roho na sio mwili.
Mwili ni boksi la kuwekea roho.
Mwili huoza Ila roho huishi mile.
Kinachopewa Jina ni roho na sio mwili , ndo mana kipindi cha mazishi wanasema " mwili
wa Joseph(marehemu) utazikwa " na sio Joseph atazikwa.
Watoto wa MUNGU(Baba) ni wale watu wema, na watapata Urithi wa kuishi mbinguni pamoja na baba yao. Swali: Je MUNGU kazaa , mbona anawaita watu wema ni watoto wake?
Watoto wa shetani ni wale watu waovu . Na watarithi sehemu baba yao shetani , ambapo sehemu yao ya urithi ni motoni? Swali: Je shetani kazaa, kwanini wanaitwa watoto wa shetani?
Kwa hiyo tunaona roho inaweza ikazaliwa zaidi ya mara mbili.
Kwa mfano unaweza kumuona , Leo Rehema ni kahaba aliyekubuhu, na mwenye Kila sifa ya kuitwa ni Mtoto wa shetani , Endapo akizaliwa mara ya pili katika MUNGU basi anaweza akawa ni mtu wa tofauti sana na akawa amevaa usuhusika(character) ambao hata mtu wake wake wa karibu sana atamshangaa .
Pili , Yesu hakuzaliwa Kwa
tamaa ya baba na mama.
Yesu ndiyo kazi ya MUNGU ya ya Kwanza ya uumbaji na yeye ndiye kaka wa Kila kilichoumbwa na MUNGU.
Yesu alikuwepo hata Kabla ya mbingu na malaika na Dunia kuumbwa.
Na ikumbukwe Yesu ni Roho ,
Maria alitumika kumpa Yesu mwili, Yani kumpa boksi la Roho.
Kuna vitu vingi nampinga Muhammad karibia vyote:
Kwa Kusema MUNGU aliumba majini( malaika walioasi mbinguni) ili yamsujudie.
Shetani alikuwa hivyo sababu hakutaka kumsujudia mwanadamu ( MUNGU pekee ndiyo wa kujudiwa na sio kikuu chochote ). Na sababu ya kufuzwa Kwa malaika waovu(mbinguni) ni kutaka kuupindua ufalme wa MUNGU.
Kwa kusema Yesu hakusulubiwa na Wala hakuteswa Ila alidanganya . Hii inafunja lengo Zima la ahadi ya MUNGU aliyompa Adam kuwa atakuja kuwaokoa kizazi chake Kwa kupitia mwana wake wa pekee aliye mbinguni.
- Pia tunaona Petro alipotaka Yesu asisulubiwe , Yesu alimkemea Petro na kumwambia huyo ni shetani na sio wewe. Kwa sababu angazuia lengo Zima la Yesu kuja duniani