kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Mashetani never existed. Hiyo ni myth au Ngano na vigano vya mazimwi.
Mkuu kwanini unajiita nyota ya Venus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashetani never existed. Hiyo ni myth au Ngano na vigano vya mazimwi.
Sawa mkuuHakuna utabiri. Siku ya mwisho ni siku ya kifo cha mtu.
Kwanini unajiita kilwa wa kivinje!?Mkuu kwanini unajiita nyota ya Venus
Kwanini unajiita kilwa wa kivinje!?
Kuna swali uliuliza!? Au unataka nikujibu kulingana na uwezo wako wa kufikiri!?Hujajibu Swali mkuu
Sifa ya The Beast mnyama aliyeongelewa ni anaviraka viraka vya viumbe wengineMbona hilo sanamu halina features zilizoelezwa kwenye bible...
Pia mnyama anayetajwa kwenye vifungu ulivyonukuu, anaonekana alikuwa ni mnyama anayewakilisha mambo fulani na wala si sanamu la mnyama....
Sifa ya The Beast mnyama aliyeongelewa ni anaviraka viraka vya viumbe wengine
Mabawa ya Tai
Mwili wa Chui
Mdomo wa Simba
Miguu ya Dubu.
2 Wakorintho 4:4 TKU " Mtawala wa dunia hii amezitia giza akili za wasioamini. Hawawezi kuona nuru ya Habari Njema; ujumbe juu ya uungu wa Kristo, taswira halisi ya Mungu. "
Huo ni uchambuzi wako , usi-command Kwa kusema usitarajie Yani kama unashurutishaHuyo aliyeongelewa huko alikuwa hai, halikuwa sanamu...
Na usitarajie kuja kumuona huyo mnyama kwa macho, bali alitumika kama ishara kuelezea vitu/kitu/mtu ambaye atakuwa na tabia za muonekano huo ulioelezwa...
Walokole akili zao kama vichaa.Huyo aliyeongelewa huko alikuwa hai, halikuwa sanamu...
Na usitarajie kuja kumuona huyo mnyama kwa macho, bali alitumika kama ishara kuelezea vitu/kitu/mtu ambaye atakuwa na tabia za muonekano huo ulioelezwa...
Mambo ya kiroho yanaandikwa kwenye karatasi. Huu sasa ni wehu kiwango cha Dr Shika.Huo ni uchambuzi wako , usi-command Kwa kusema usitajie Yani kama unashurutisha
Haya ni mambo ya kiroho
1 Wakorintho 1 : 20-25 " Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu wa sheria? Naye bingwa wa mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? Mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu.Walokole akili zao kama vichaa.
Akili yako haina akili, pole sanaNimekuuliza hao ni watu au siyo watu!? Mbona hujibu. Na nikaendelea zaidi kwa kukueleza kama ni watu basi hao watu wapo na wanaimani yao kama imani zingine. Kama siyo watu basi hizo ni myth. Na sipo hapa kuanza kujadili mythology.
Na kama watu wapo wa Imani zao, imani ni kitu private, I cannot judge imani ya mtu binafsi.
Bado hujaelewa!?
Haumini kama Mungu yupo ila una amini mapepo yapoKwani shida ya samu hiyo ni nini!?
Kama unaogopa sanamu tu iliyotengenezwa kwa plastic, chuma na udongo mapepo yakija utaweza kupambana nayo kweli!?
Ungejua hata hizo ulizoziita scientific process mechanism zake ni idiopathic usingeonesha ujuaji wako hapaKwani mifupa kumbe iliubwa!? Mimi sikujua hilo. Kwa mujibu wa biology mifupa ni scientific process na siyo kuumbwa.
Nani aliiumba mifupa!?
Acha ujuaji dogo... we kunya utawaze inatosha.Mashetani never existed. Hiyo ni myth au Ngano na vigano vya mazimwi.
Kwani mifupa kumbe iliubwa!? Mimi sikujua hilo. Kwa mujibu wa biology mifupa ni scientific process na siyo kuumbwa.
Nani aliiumba mifupa!?