Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

Huyoo ngoja akae aisubilii ml 10.. aendelee kiwa video queen tuu..
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

Sasa milioni 10 yote ya nn , mtu mwenyewe unaonekana watu wanakufanya uwanja wa mazoezi tu na wanapiga ligi za mchangani kisha wanasepa
 
Ana umri gani? Hizi kwa kawaida ni tambo za mabinti wenye umri wa 18-23...... Sasa ngoja umri upite hadi 32 bila mume mtasikia kauli yake.... Kama hataomba achukuliwe tu bure na yeyote mwenye suruali!!!!
 
Milioni 10 wakati watu washachimba madini hadi umebaki mchanga mtupu?

[emoji3][emoji3]
 
Ni nani anatafuta mme na kufanya afanyayo hapo?? Ni mwanaume fala ndo ataenda oa hapo, huyo ni malaya na kataja bei ya kei yake na tacko lake baada ya hiyo promo!
Ila ana bubble butt la maana ila sio wife material, ni wa kupiga na kuwaachia wengine waendelee!
 
Kizibo cha nyuma anacho labda milion kumi ya zimbabwe au asubiri sizonje aachie ngazi
 
Huyu alikuwa zuzu Muungano primary Moshi waliosoma miaka ya 1999-2005 watakuwa wanamkumbuka mamaake alikuwa mwalimu ana msambwanda huyo sanchoka akasome
 
Aendelee kujiuza tuu hakuna atakaetoa m10 anunue kitu used.
 
Kwa booty lileee aaah ningezitoa tu tatizo nina mbegu million kumi badala ya tshs
 
Million kumi kwa ajili ya tako au? Au anatoa tigo?kwani Kuna tofauti gani papuchi yake na wengine?Ukiona hivyo Huyu anatabia ya watu kula samaki lazima umgeuze upande wa pili,Atasubiri sana,labda atapata wa kuchezea tu,haolewi
 
Back
Top Bottom