FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Yameniudhi, mkiamua kuandika kiswahili andikeni kiswahili na sio mnachanganya.
Tangu lini umewakuta waingereza, waarabu, wagiriki au waitaliano wakichanganya lugha katika mazungumzo yao?
Wewe nae hata jina la jukwaa kinakushinda kukupa muongozo? Hapa ni "swagger" za Swanglish kwa kwenda mbele.
Tupishe huko tujifaraguwe.
Ma shaa Allah toto la kichagga limeiona Nuru ya Allah.