Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

Yani ukitaka kupatata na muislamu wewe jifanye ni mtu wa dini yake hapo atakufurahia sana.

Mimi ni mkristo,nilipokuwa naenda kupanga nyumba za waislamu walikuwa wananiuliza" wewe ni wa dini gani? " bhas mimi nilikuwa nawaambia mimi ni muislamu lakini nilipewa jina hili la kikristo nilipokuwa naishi kwa wajomba zangu,lakini mimi naipenda dini ya kiislamu na nimechagua uislamu,bhas utakuta mwenye nyumba anatabasamu alafu ananionesha nichague nyumba[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1432142
Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado hajaingia kwenye uislam.




Sent using Jamii Forums mobile app
Amebadili dini, muonekano jee? Ninavyofahamu mimi uislam ni total package [ucha mungu, tabia njema, mavazi n.k]
 
sasa wewe ajuza sema "tutachamba",mana hakuna binadam anayejali afya asiyechamba , kama wewe huchambi basi wewe ni MWANAMKE AJUZA MCHAFU, sasa naona umebadilisha mada ya sanchi umehamia kwenye kuchamba..fala wewe..huyo hana cha uislamu wala nini wazee wenye pesa wataendelea kusugua hio kumah mpaka basi na hilo tako ndio kabisaaa
Corona hana mchezo, Corona ni Muislam tena "siasa kali", mtachamba na kutawadha na mtavaa ushungi mkitaka msitake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mfungo ukiisha anarudi kwenye dini yake........huyu kila mwaka anabadili dini

Sent using Jamii Forums mobile app
malaya tu huyu hana lolote ukiwa na mamilioni yako ukitaka kumkuna unaweza tu ukafaidi tako hilo as long as you can mkuu ..halaf bado washenz wanakuja hapa wanaongea upuuzi wakiongozwa na huyo ajuza aliyejichokea maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi hichi nasikia hata kabla ya korona Mududu alikuwa anakosa soko kabisa pande zote mbili za Jamhuri, sijui kama ni kweli
 
Acha ufala.
Hayo yanavaliwa msikiti wa Gadafi Dodoma.

Na yale yakujifunika aliyovaa kama jini yanavaliwa hukohuko
FALA BABU na BIBI yako Shamba ,kama ni mavazi huyo mgalatia MWENZIO ndy kalepa picha hiyo..alidhani kuleta hapa ndy ataudhalilisha UISLAM,,,kumbe kajidhalilisha mwenyewe na ugalatia wake..huyo SURAIYYA sasa ni MTU mpya, ,hayo mavazi alikuwa akivaa wakati akiwa mgalatia..sasa hutimwona tena na mavazi hayo SURAIYYA now she is changed..PIMBI we..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yameniudhi, mkiamua kuandika kiswahili andikeni kiswahili na sio mnachanganya.

Tangu lini umewakuta waingereza, waarabu, wagiriki au waitaliano wakichanganya lugha katika mazungumzo yao?
Kilichokuudhi ni maneno ya SURAIYYA. Kuslimu na sio Maneno yangu, ,nime copy Yale aliyosema SURAIYYA... hata hao WAZUNGU wenyewe pia wanachanganya lugha,,nenda kaishi nao utawajuwa.....wacha KURUSHA MAPOVU...kipindi hichi cha corona sio salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom