Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

72848739.jpg

#SURAIYA
 
AlhamduliLlah tena nakwambia kuna hiyo inaitwa habat souda, unachanganya na asali. Ukishindwa hiyonkukutibu ujuwe wewe ni kifo tu. Maana hiyo haitibu isipokuwa ugonjwa tu, na kifo si ugonjwa ni haki yetu sote.

Katafute habat soda changanya na asali ujikinge na Corona na kama una mgonjwa wako mponeshe kwa kumpa haba soda, anapona.

Madukanyiye ya dawa za kisunna ipo, tena Tanzania unapata ya mbegu kabisa. Bei kama bure tu.

Muone mwenzenu anasemaje kuhusu tiba ya kisunna hii iliyotolewa miaka zaidi ya 1400 iliyopita...

Kama kweli Habat Soda inatibu Corona watu wa IRAN wasingekufa kama Kuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam uliingia Amerika kabla ya Columbus.

Corona Muislam, mnatawadha sasa hivi mkitaka msitake.
Hahahahahah ajuza bhana daaah wewe Bibi una tabu sana .

Hili swala hata ustaadh zurii hajalithibitisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]

Eti uislam uliingia America kabla ya Columbus daaah jamani jamani njoo mchukueni Bibi yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU mbona MNARUSHA MAPOVU? mrembo kabadili DINI,,, hajasema kabadilishwa DINI..amesema the RELIGION SHE LOVES...She has been fasting ramadhani since she was not a Muslim...and today she is happiest for her first SHAHADA as a MUSLIM...she is where her spirt truely belongs..MAASHALAH SURAYYA... MSIMVUNJE MOYO MREMBO.......kitendo cha KUSHAHADIA AS MUSLIM,,ni JAMBO KUBWA SANA,,,,hyo akifa Leo ANAKWENDA KAMA MUSLIM....ni WANAWAKE WANGAPI wa KIISLAM walikwenda UPANDE WA PILI SABABU YA NDOA?na huyu kaja UPANDE HUU NI KWA UWEZO WA ALLAH,, MBONA NI KAWAIDA TU? tena ATAWAHAMASISHA WAREMBO WENGI KUHAMIA DINI YA HAKI....basi na huyo hata akidanganywa basi na aachwe MOYO WAKE UNAVYOTAKA,,,iam happy for you SURAIYYA.....ALLAH AKBAR

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoamua kuandika kiswahili andika kiswahili tu na unapoamua kuandika arabish andika arabish tu
 
Jack wolper

Irene uwoya

Aunt Ezekiel

Wote Hawa walibadilj dini Ila wakarudi walikotoka kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote ni WASANII..walikuwa kwenye scene ya MOVIE FULANI..kwa siku tofauti tofauti..hawakuwahi kubadili DINI SERIOUS....huyo SURAIYYA IS REALLY MUSLIM NOW..HAKUWAHI KUWA MUIGIZA MOVIE.. ...mimi pia ni MKRISTO MKUU..KANIUDHI SANA,,KUBADILI DINI...hilo ZIGO sitoliona tena KANISANI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom