Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

CORONA BADO NI TATIZO MKUU,BARAKOA NA MAJI TIRIRIKA NI MUHIMU BILA KUSAHAU KUJIFUKIZA
Alhamdulillah. Waislam tunaijuwa faida ya maji kabla ya corona.

Na wengi sasa wataelewa kwanini Uislam umesisitiza watu kutawadha na kwanini hata msikitini Waislam hawaingii bila udhu (kunawa na kujiosha sehemu zote muhimu zinazoweza kugusa kiurahisi) na karibu mtaelewa kwanini huwezi kuingia msikitini na viatu.

Kumfundisha Muislam barakoa (burqa) ni kama upo Coco beach unauliza baharini wapi.

Hili ni vazi la stara ambalo Waislam tunalivaa kwa.miaka mingii tu, halitupi shida. Mpaka, ilifikia kwa kejeli tu, watu kutuuliza tunapumua vipi tukiivaa burqa (barakoa), naona sasa jibu wanalo.
 
Shkamoo....samahani bi faiza Ni nje ya mada kidogo..
.kule mbinguni wanaume wameahidiwa wanawake 72 wenye mizego na macho makubwa...nyie wanawake mmeahidiwa Nini...
 
WAKUU mbona MNARUSHA MAPOVU? mrembo kabadili DINI,,, hajasema kabadilishwa DINI..amesema the RELIGION SHE LOVES...She has been fasting ramadhani since she was not a Muslim...and today she is happiest for her first SHAHADA as a MUSLIM...she is where her spirt truely belongs..MAASHALAH SURAYYA... MSIMVUNJE MOYO MREMBO.......kitendo cha KUSHAHADIA AS MUSLIM,,ni JAMBO KUBWA SANA,,,,hyo akifa Leo ANAKWENDA KAMA MUSLIM....ni WANAWAKE WANGAPI wa KIISLAM walikwenda UPANDE WA PILI SABABU YA NDOA?na huyu kaja UPANDE HUU NI KWA UWEZO WA ALLAH,, MBONA NI KAWAIDA TU? tena ATAWAHAMASISHA WAREMBO WENGI KUHAMIA DINI YA HAKI....basi na huyo hata akidanganywa basi na aachwe MOYO WAKE UNAVYOTAKA,,,iam happy for you SURAIYYA.....ALLAH AKBAR

Sent using Jamii Forums mobile app
hehehehee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe DINI gani? na umekuwa Chizi kwa muda gn? mwacheni BINTI WA WATU...yeye ameshaona wapi kuna heri KWAKE,, SIKU YA KUFA KILA MTU atakufa PEKE YAKE,,,NA ATAJIBU KWA MADHAMBI YAKE....hakuna wa kumjibia MWENZIO...wacheni KUTOA MAPOVU... watu mmemsema sana anavaa uchi..Mara kwani hana wazazi..Leo KAJISITIRI MNAANZA MAPOVU..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom