Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Unaandika Mashudu tu.Alhamdulillah. Waislam tunaijuwa faida ya maji kabla ya corona.
Na wengi sasa wataelewa kwanini Uislam umesisitiza watu kutawadha na kwanini hata msikitini Waislam hawaingii bila udhu (kunawa na kujiosha sehemu zote muhimu zinazoweza kugusa kiurahisi) na karibu mtaelewa kwanini huwezi kuingia msikitini na viatu.
Kumfundisha Muislam barakoa (burqa) ni kama upo Coco beach unauliza baharini wapi.
Hili ni vazi la stara ambalo Waislam tunalivaa kwa.miaka mingii tu, halitupi shida. Mpaka, ilifikia kwa kejeli tu, watu kutuuliza tunapumua vipi tukiivaa burqa (barakoa), naona sasa jibu wanalo.
Kama in hivyo basi tumieni zile dawa zenu za kisunni kutibu Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app