ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 564
- 922
Sawa ngoja tuonemuda utaongea, utaona atakayepewa ...
Sawa ngoja tuonemuda utaongea, utaona atakayepewa ...
Mwenzako anataja vifungu vya sheria, wewe unaongea maneno matupu. Kanusha hivyo vifungu alivyotaja kwa kutumia vifungu.Japo simpendi Bashite, lakini Waziri mwenye dhamana ana mamlakanna timu ya taifa. Sio vilabu; timu ya taifa. Yeye ndie anawasikisha bajeti ya michezo bungeni, ambayo ni pamoja na undeshaji wa timu ya taifa.
TFF inachukua hela serikalini kuendesha timu ya taifa. Pesa za nchi hizo, sio za GSM au Dewji.
Na huu ndio ukweli. Popote Makonda atapotia mkono msitegemee utulivu.Penye Makonda, hapajawahi kuwa na utulivu!
Ongopa mtu aliyefeli na kutumia cheti cha mtu mwingine
Utasikia serikali ituangalie watu wa hali ya chini. Yaleyale ya Oya Oya za Simba na Yanga, wanataka timu zao zisajilu mchezaji wa Bilion mbili badala ya Free Agent halafu wakiweka kiingilio 30,000 mzunguko wanaanza kulia "mtuangalie sisi watu wa hali ya chini.."Then Bei yake ya kununua utaiweza?
Jaribu kujibu hoja za wakili kwa vifungu kama alivyotumia kuwasilisha hoja zake.Wakili hajui anachozungumzia. Aombe radhi na amshauri mteja wake atengeneze jezi zenye ubora na ajitahidi kuwa anawasiliana na TFF/Wizara kabla hajazalisha jezi.
Amenukuu vifubgu ambavyo havipo 'Wizara sio thirdy party ' wala hawaingii maamuzi ya TFF, BMT wala klabu. Wanaingilia mkataba ambayo unagharamiwa na serikali, pia timu na jezi za Taifa ni za Nchi sio za TFF wala BMT.Jaribu kujibu hoja za wakili kwa vifungu kama alivyotumia kuwasilisha hoja zake.
Zile jezi mbovu hata ningekua mimi lazima ningemind ronya zile halafu weshenzi wanapiga mabillion waache ujinga wabadirishe ile mijezi ni mironya, kwenye hili mimi nipo upande wa DABTff na mashirikisho mengine yote ya michezo kama pete, kikapu n.k yapo chini ya wizara ya michezo na utamaduni
Mwenzako anataja vifungu vya sheria, wewe unaongea maneno matupu. Kanusha hivyo vifungu alivyotaja kwa kutumia vifungu.
Watanzania wajinga wajinga wengi,sheria na kanuni ziko wazi ,mtu analeta mazoea, duniani kote mawaziri wa michezo hawana nafasi ya kuingilia maamuzi ya chama cha soka,na ndio maana kule cameroon Etoo aliita timu yake ya taifa kama mwenyekiti wa FA na sio ile ya waziri waoMwenzako anataja vifungu vya sheria, wewe unaongea maneno matupu. Kanusha hivyo vifungu alivyotaja kwa kutumia vifungu.
sasa huo mkataba wakati unasainiwa waziri wa michezo ni ndumbaro na hizo sio jezi za kwanza kuzinduliwa kupitia mzabuni sandaland , walishazindua mara ya kwanza wakazitumia Morroco kwny AFCONSina haja kutoa vifungu kwenye jambo la uelewa; Timu ya taifa ni mali za Tanzania, na ipo chini ya wizara ya michezo. Waziri hawezi ingilia sheria, kanuni na taratibu za FIFA/CAF. Lakini kama kuna ubadhirifu wa fedha ambazo ni za Tanzania, waziri anaweza ingilia suala hilo kwa maslahi ya Tanzania.
sasa huo mkataba wakati unasainiwa waziri wa michezo ni ndumbaro na hizo sio jezi za kwanza kuzinduliwa kupitia mzabuni sandaland , walishazindua mara ya kwanza wakazitumia Morroco kwny AFCON
sasa waziri akikataa si ndio hiyo inaitwa inakua third party ambayo wanasheria wamesema? au TFF wenyewe wakatae ? vipi mkataba huwezi kuwasumbua ?Mkuu, kama mkataba unaendelea na design, relevancy and standards sio nzuri, aliyepo anaweza kataa.
NI SMG au ulitaka nani mwingine?Kwani makomda ni muislamu mkubwa acha chuki binafsi kiongozi. Haya tupatie na ushahidi basi na ututajie ni muarabu gani anapewa hio tenda kama wewe umeelewa
Kwa hiyo DAB kaona upigaji uko kwenye jezi tu? Mbona hakuingilia upigaji kwenye tenda ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa Arusha?Sina haja kutoa vifungu kwenye jambo la uelewa; Timu ya taifa ni mali za Tanzania, na ipo chini ya wizara ya michezo. Waziri hawezi ingilia sheria, kanuni na taratibu za FIFA/CAF. Lakini kama kuna ubadhirifu wa fedha ambazo ni za Tanzania, waziri anaweza ingilia suala hilo kwa maslahi ya Tanzania.
Uongo, mgeni rasmi kwenye kombe la Dunia alikuwa Trump, Je, trump ni kiongozi wa mpira? Viwanja vinavyojengwa kwa ajili ya AFCON vinajengwa na serikali, sio TFF, kitu kisichoingiliwa na serikali, ni kwenye kuchagua viongozi wa TFF,pamoja na sheria, na kanuni zinazohusu soka, kwenye udhamini wa timu ya taifa, na vilabu, serikali inaingilia vizuri tuTff,TOC ni tofauti kabisa na michezo mingine hiyo michezo haitaki kabisa serikali za ndani kuingilia masuala yake ndio maana ni mashirikisho ya nguvu sana duniani.Ukizingua wanakupa ban bila shaka ulifuatilia ule mchakato wa uchaguzi wa TOC pamoja na bwana mmoja kuingilia lakini kafeli na huku TFF atafeli labda acheze figisu za ndani kwenye chaguzi za tff kuweka mtu wake.
Hilo jambo ukiliangalia Kwa kina Kuna mtu anataka kulazimisha ulaji basi. Sisi tukijiunga na huyo mtu tutalia sisi baadaeUtasikia serikali ituangalie watu wa hali ya chini. Yaleyale ya Oya Oya za Simba na Yanga, wanataka timu zao zisajilu mchezaji wa Bilion mbili badala ya Free Agent halafu wakiweka kiingilio 30,000 mzunguko wanaanza kulia "mtuangalie sisi watu wa hali ya chini.."
Kama kuna kitu cha kijinga unaweza kufanya ni kujaribu kumuelewa Mbongo Halisi.