Sandaland: Makonda hana mamlaka ya kuingilia shughuli za chama cha soka, yeye ni ‘third party’

FIFA haimtambui Makonda inaitambua TFF huyo dogo kakosa percent kwenye hilo dili la jezi ndio maana analeta gubu
 
Bashite amemdiss mwanasheria kuhusu KOKOTO.
 
pamoja na kuwa alichelewa kwenye dili akakosa 10% hajauingilia mpira,,,
 
Tff ya Kalia ina madudu mengi sana uchunguzi ukifanyika tutaona mengi mno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…