Jiwe linamtumia Laizer kuuza mawe menzie.Sisi wenye sixth sense (macho matatu) tunaona kabisa Laizer anatumika kufanya Money laundering kupata pesa za uchaguzi.
Taasisi ya madini mnaingizwa chaka mkijua.
Kwaheli.
Nishakuwamchimbaji mgodi ukikaribia mwamba ile huwa ni siri ya mchimbaji tena wale wachache walioko mbele na tena uwe makini kweli kweli maana hata mwenzako mle anaweź kukutwanga na chuma au chepe maana ile huwa ni kama zali fulani kwa mchimbaji.mchimbaji akuambie naribia kupata jiwe?ThubutuuuHajaficha ila kauchungulia mwamba!
Wapinzani ni magenge flani ambayo hawaamini katika uhalisia.
JPM!Ni yeyeeee
Sasa saizi utamgonga chuma mwenzio kichwani wakati kuna JWTZ?Nishakuwamchimbaji mgodi ukikaribia mwamba ile huwa ni siri ya mchimbaji tena wale wachache walioko mbele na tena uwe makini kweli kweli maana hata mwenzako mle anaweź kukutwanga na chuma au chepe maana ile huwa ni kama zali fulani kwa mchimbaji.mchimbaji akuambie naribia kupata jiwe???thubutuuu
Aliekuambia jeshi linakuwa mle chini shimoni ni nani.Sasa saizi utamgonga chuma mwenzio kichwani wakati kuna JWTZ?
Wakuu mmewaza mbaali sana huenda huyu jamaa anachofanya ni kutoa moja mojaHuyu jamaa tayari ana hayo mawe. Anayauza strategically!
Hivi huko chini shimoni nikaona umepata mzigo unaweka mfuko nikakutandika chuma cha kichwa nikachukua mzigo nikapanda zangu hadi juu watajua kam huko chini nishampeleka mtu kwa muumba wake watakaa wajue?Sasa saizi utamgonga chuma mwenzio kichwani wakati kuna JWTZ?
Mkuu siku hizi migodi yote midogo ina uongozi sidhani kama hicho unachokiongelea kinawezekana tena kwa urahisi huo. Em fikiria mfano kitalu kina mwenye leseni, ndani ya eneo la leseni kuna watu wenye maduara(kama mwenye leseni hajaamua kuchimba mwenyewe na kuendesha kwa mwendo wa share 63 kwa 37). Na kwa kila duara linakuwa na mmiliki na vibarua wake na mlinzi(yuko answerable kwa mwenye leseni) na inspector(kukagua structure ya shimo na mali iliyomo) huyu ana report kwa wote, mwenye duara na mwenye kitalu.Hivi huko chini shimoni nikaona umepata mzigo unaweka mfuko nikakutandika chuma cha kichwa nikachukua mzigo nikapanda zangu hadi juu watajua kam huko chini nishampeleka mtu kwa muumba wake watakaa wajue?
Alafu mgodi unanjia nyingi mle mle shimoni kama hujui njia unaweza potea huko huko mdani kwa ndani kingine naweza lipata leo nikaenda kulificha huko huko chini kwenye njia nyingine hadi isiku naamua kulitoa kulingana na upepo wa walinzi kuke juu kwani kuna siku mchimbaji kwa kuwa mshazoea unajipitia tuu kama unavyoingia na kutoka gereji ya magari
Ameliona? Au Ni fr ....ma...y?Mchimbaji mdogo wa madini mh Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Unachowaza hakipo hivyo ile migodi ya mererani ni mirefu zaidi ya mita 200 kwenda chini na njia sio mnyooko eti ukichungulia utaona mwisho.Mkuu siku hizi migodi yote midogo ina uongozi sidhani kama hicho unachokiongelea kinawezekana tena kwa urahisi huo. Em fikiria mfano kitalu kina mwenye leseni, ndani ya eneo la leseni kuna watu wenye maduara(kama mwenye leseni hajaamua kuchimba mwenyewe na kuendesha kwa mwendo wa share 63 kwa 37). Na kwa kila duara linakuwa na mmiliki na vibarua wake na mlinzi(yuko answerable kwa mwenye leseni) na inspector(kukagua structure ya shimo na mali iliyomo) huyu ana report kwa wote, mwenye duara na mwenye kitalu.
So niambie kwa mlolongo huo wote ni vipi utamuua mwenzio isijulikane, kwanza kwa vibarua wenzio ulionao shimoni pili kwa mwenye duara tatu kwa inspector anaepaswa kuwa anazama shimoni mara kwa mara kukagua na mwisho mwenye leseni ambae ndo yuko answerable kwa serikali.
Unahisi kweli unachokiwaza kinaweza kuwa rahisi kiasi hicho! Labda sio kwa awamu hii ilivorekebisha mambo aisee!
Wizi hua unafanyika ila mara nyingi ni majambazi wanakuja na siraha kabisa wanawateka kitu ambacho sioni kikitokea Merarani. Ni sawa na kwenda kuivamia kambi ya jeshi
Hapa tunachezwa shere si bureMchimbaji mdogo wa madini mh Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Unatoa hela benki unapeleka wapi?johnthebaptist,
Sisi wenye sixth sense (macho matatu) tunaona kabisa Laizer anatumika kufanya Money laundering kupata pesa za uchaguzi.
Taasisi ya madini mnaingizwa chaka mkijua.
Kwaheli.
Unatafuta ugomvi na T.I.D alivyofulia sasa hivi anakia na kila mtu akitumia hilo neno utafikri halipo kwenye Kiswahili.Ni yeyeeee
Taifa la wajinga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mchimbaji mdogo wa madini mh Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Huo ndio ukweli hata hili la tatu ni baada ya kufinywa wamelitoaIsijekuwa ameshayapata, ameyaweka ndani anayatoa tu kidogo kidogo, ndio ameanza miezi hii kuyatoa, bado yamejaa geto