Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Asitufokeee sisiMchimbaji mdogo wa madini mh Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Laiser-TanzaniteMmmh kila siku anapata yeye tu
Basi ayo madini yaitwe laizer
Acha ujinga wewe nani amefoka hapa??Asitufokeee sisi
Ina maana 'KAKA' yupo mahabusu?Kuna skendo inaendelea huku hichi mnachoambiwa sivyo mambo yalivyo
"KAKA" alipewa Money Laundering kimya kimya, hizo hela zinaenda kwenye kampeni ya haya majitu
Ametoka, ila katokaje ndio mtihaniIna maana 'KAKA' yupo mahabusu?
Mtu anayechimba kwa mashine mita zaidi ya 150 chini yaani uwanja wa mpira na nusu unamwita mchimbaji mdogo?Habari wanaJamiiForums,
Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Kwanini basi wasingeyauzia kwenye open market ambayo bei zake zipo kati ya mara 20 hadi mara 50?Kuna skendo inaendelea huku hichi mnachoambiwa sivyo mambo yalivyo
"KAKA" alipewa Money Laundering kimya kimya, hizo hela zinaenda kwenye kampeni ya haya majitu
Mall tayari ashaijenga muda tu mpk lift ilishawekewa,ni kumalizia vitu vya hapa na pale basi.Huyu jamaa anajabali analikwangua kidogo kidogo. Ndyo maana mawe anayotoa yanastructure inayofanana. Huyu akibanwa anaweza kuja na jiwe la kubebwa na fuso.
Mtu anasbilion 7 anasema anatarajia kujenga mall unadhani mall ni kitu ya mchezo?
Haswa pale pana metric tones kama 800 tuendako itabidi serikali ishindwe pesa za kumlipa Laizer, naona Magufuli akiyauzia Benki ya Dunia.Hajaficha ila kauchungulia mwamba!
Ni uzalendo kwa nchi yake!Kwanini basi wasingeyauzia kwenye open market ambayo bei zake zipo kati ya mara 20 hadi mara 50?
Baadae Serikali itayauza open market?Ni uzalendo kwa nchi yake!
Isijekuwa ameshayapata, ameyaweka ndani anayatoa tu kidogo kidogo, ndio ameanza miezi hii kuyatoa, bado yamejaa geto
Mmmh kila siku anapata yeye tu
Basi ayo madini yaitwe laizer
johnthebaptist,
Sisi wenye sixth sense (macho matatu) tunaona kabisa Laizer anatumika kufanya Money laundering kupata pesa za uchaguzi.
Taasisi ya madini mnaingizwa chaka mkijua.
Kwaheli.
achana na huyu mwanaume wa darAcha ujinga wewe nani amefoka hapa??
Tutagemea manyani kutoa mawe makubwa kupita hayo mda sio mrefuHabari wanaJamiiForums,
Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
Katoka na mgao kachukua,yeye ndio mwenye cash kuliko wote mana ana 35%Ametoka, ila katokaje ndio mtihani