Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Kabisa kile kizazi cha wachezaji wafia timu kinaishia kabisa, kipindi kile Juventus anashuka faraja,, man utd walipeleka ofa kumtaka Del piero,, akawaambia hii timu iko damuni nakuheshimu sana mzee wangu Alex F, ikaisha hivyo, Ndio kile kizazi,
Lakin Mwalimu anakataaje ofa nono? Tuache kuwaangushia mzigo viongozi ikiwa Bajeti ni finyu😂, Ni Senzo mwenye misimamo na hata yanga walivoleta janja akasepa, alituonesha njia na mifumo inatakiwa iweje.
 
Ooh! Ila kuna muda viongozi wenu wana wafadhaisha sana.

Yaani juzi mtu ameongea kwenye Big Screen halafu leo anatambulishwa upande wa pili. Inakera sana. 🤣

Ila pole Mkuu. Bila shaka hapa shida ipo kwa Mangungu.💃
Mangungu anashida Gani? Mbona anafanywa sana Mbuzi wa kafara! Shida ya Simba Iko Kwa Mo na menejinenti yake ambayo mnaogopa kuwasema, MO ndio tatizo Simba
 
Sajili za kukomoana na kumkomoa mpinzani. Timu ina Mastriker kibao,sasa huyu wa nini Yanga inahitaji number kumi mwengine.

Ila ndio mpira wetu mwendo wa kukomoana. Naona Ahmed Ally sijui atasemaje, maana aliongea shit sana juu ya swala hili.
Hii comment nimeuona mahali. Kumbe yule ndio wewe. 🤣🤣🤣 Ngoja nilitume Jina na ID yako kwa Mafwele akufanyizie kazi.
 
Binafsi nashukru Mwalimu kuondoka sijawahi kumkubali hata kidogo huyu mchezaji
 
Mangungu anashida Gani? Mbona anafanywa sana Mbuzi wa kafara! Shida ya Simba Iko Kwa Mo na menejinenti yake ambayo mnaogopa kuwasema, MO ndio tatizo Simba
Mkuu mi sio 5imba hapo nilikuwa namtania tu huyo secretarybird japo tumeshazowea siku zote kila baya huko 5imba huwa anapewa Mangungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…