Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Mwalimu kwenda Yanga siyo tishio, ila inadhihirisha kuna upyumbavu mkubwa sana unafanywa na viongozi wa Simba.

Kwa mfano usajili wa Feitoto eti unasubiri mauzo ya jezi wakati kuna fedha benki.
Kwanini wasizichukue hizo fedha kama mkopo wasajili haraka then mauzo ya jezi yakikamilika wazirejeshe?

Inaonyesha Feitoto anaipenda Simba ndio maana mpk leo hajasaini yanga, ila maviongozi ya Simba yanazubaa kutoa hela.

Kwa huu upuuzi FEISAL SALUM FEITOTO ANAENDA YANGA.
 
Ila alipokubali kusajiliwa na Wydad Casablanca aliiona future yake siyo!! Mjomba, siku hizi mpira ni biashara. Kama mpira ungekuwa ni future, basi Fei Toto angeendelea kubakia Yanga.
Halafu wajue Mchezaji ni Bidhaa TU ,inauzwa kwenye duka ( club ) yoyote Ile yenye kuitaka hy Bidhaa na madalali wakuuza wapi ( agent)
 
Back
Top Bottom