Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Ila wamewakosea sana. Bora wasingeweka kile kipande pale Uwanjani.Waweke sawa vipi wkt wamegeukana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa ha hela?
Ila wamewakosea sana. Bora wasingeweka kile kipande pale Uwanjani.Waweke sawa vipi wkt wamegeukana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa ha hela?
Hahahaha ni kweli kabisa Mtani, Raha ya hela iwe mfukoni Tena kwenye mfuko wa shatiMtani nimeiona sehemu wanasema eti hela inatakiwa zikae kwenye mfuko wa shati eti.
Na sio benki. 😂
Hahahaha ni kweli kabisa Mtani, Raha ya hela iwe mfukoni Tena kwenye mfuko wa shatiMtani nimeiona sehemu wanasema eti hela inatakiwa zikae kwenye mfuko wa shati eti.
Na sio benki. 😂
😂Nikikuita mjukuu nitakuwa nimekosea?
Hahahaha,mie Naona hawajakosea ujue Mashabiki wa Simba ndio wanapenda vile? Kama waliletewa manzoki na hakusajiliwa itakua hy ya Gomez?Ila wamewakosea sana. Bora wasingeweka kile kipande pale Uwanjani.
Hapana hukosei.🏃♀️😂Nikikuita mjukuu nitakuwa nimekosea?
Shadeeya kwakweli mmetuweza. Lakini lawama zinatuhusu sisi wenyewe, hasa muwekezaji wetu na viongozi wengine piaSesten Zakazaka hili ndio soka la Tanzania lilipofikia. Pole.
Nakumbuka tena kipindi kile kama huyo Manzoki alikuwa anasemwa semwa kuja Yanga.Hahahaha,mie Naona hawajakosea ujue Mashabiki wa Simba ndio wanapenda vile? Kama waliletewa manzoki na hakusajiliwa itakua hy ya Gomez?
Tajiri kayumba. 😂Hahahaha ni kweli kabisa Mtani, Raha ya hela iwe mfukoni Tena kwenye mfuko wa shati
Tajiri kashindwa hata kuweka kwenye simu hela ,amlipe Gomez Kwa lipa namba
Maana Mimi ni Mzee sana humu. Wenzako kila asubuhi hunijia PM na kunisalimia.Hapana hukosei.🏃♀️
Kama mliletewa Manzoki kwenye uchaguzi bado hamjui kama mnaonwa mapoyoyo.Mashabiki wa Simba hawaumii kuondoka kwa Selemani, ila kinacho wauma ni kuongopewa na kuhakikishiwa Selemani ni mchezaji wao,kwa kifupi hali si shwari kabisa Msimbazi,maana kuna uwezekano wanaongopewa vitu vingi.
Sungura aligumiaSizitaki mbichi hizi...!
Fedheha kwao viongozi sio sisi, sisi hatuna kosa na hatuhusiki kwa lolote katika usajili, sisi ni kushangilia uwanjani au kuzomea ,Hii ni fedheha kwa wana Simba hii ni fedheha kwa mashabiki wote wa Simba.....sio kwa kusajiliwa kwa Mwalimu kwenda Yanga bali kwa kuonesha kuwa viongozi wa Simba wamewafanya mashabiki wa Simba kuwa ni Mazuzu, Mazezeta, MAJINGA MAJINGA yasiyo na akili......
Viongozi wa Simba wamewavua nguo mashabiki na wapenzi wa timu yao.......hii inaonyesha kuwa Simba wanafanya siasa kwenye mpira huku Yanga wakifanya kweli
Mhindi bahiriTajiri kayumba. 😂
Sina cha kumkandia. Ila aongeze juhudi badala ya kuendelea kurukaruka tu kama alivyokuwa Simba. Chances 5 anafunga 1Kipenzi Changu hebu njoo basi umkandie Salum Mwalimu. 🤣
Greatest Of All Time hivi na wewe Mtani hizi habari unazo kweli. 😅
Uwazi na Uwajibikaji haupo pale,Mashabiki wa Simba hawaumii kuondoka kwa Selemani, ila kinacho wauma ni kuongopewa na kuhakikishiwa Selemani ni mchezaji wao,kwa kifupi hali si shwari kabisa Msimbazi,maana kuna uwezekano wanaongopewa vitu vingi.
Upo sahihi kabisa mkuuUwazi na Uwajibikaji haupo pale,