Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
- Thread starter
- #161
Yani makolo leo wamechanganyikiwa balaa hata hawakumbuki kama kesho ni derby 😀😀Ila wamewakosea sana. Bora wasingeweka kile kipande pale Uwanjani.
Yani makolo leo wamechanganyikiwa balaa hata hawakumbuki kama kesho ni derby 😀😀Ila wamewakosea sana. Bora wasingeweka kile kipande pale Uwanjani.
Nakutaja. Nimeiona hii comment mahali. Kama ulivyoiandika kule ndio umeiandika huku.Yule nani? Acha kushobokea watu husio wajua.
Ushavuliwa maana asifiae mvua imemnyeshea.Nakutaja. Nimeiona hii comment mahali. Kama ulivyoiandika kule ndio umeiandika huku.
Ushavuliwa ubingwa na mafwele.
Nyie mmekula 5 na mo wenu akiwepoTunachojua ni kwamba mlikula tano kwa yai. Ninyi mlitufunga tano moja.
Hii ya juzi nilikuwa nimeshaacha kushabikia mpira, hivyo hata sijaumia.Nyie mmekula 5 na mo wenu akiwepo
Mbona unaumia issue ya seleHii ya juzi nilikuwa nimeshaacha kushabikia mpira, hivyo hata sijaumia.
Kinachinikera ni uwongo wa viongozi wa Simba, si kiwango cha sele.Mbona unaumia issue ya sele
Sele jana alikua na akina duchu leo yupo na shalulileKinachinikera ni uwongo wa viongozi wa Simba, si kiwango cha sele.
Amakweli binadamu haaminiki. 😂Sele jana alikua na akina duchu leo yupo na shalulile
Maisha ni fumbo 🤣🤣
Hakuna timu inayoweza kumsajili Feisal hapa nchiniFeisal Salum sitashangaa akitambulishwa mapema sana na yanga.
Simba ni kumanyoko tu!
Ngoja tuone.Hakuna timu inayoweza kumsajili Feisal hapa nchini
Wamechanganyikiwa wasiojua mpiraYani makolo leo wamechanganyikiwa balaa hata hawakumbuki kama kesho ni derby 😀😀
Mashabiki wengi wamechukia walivyo danganywa na si kuondoka kwa Sele, yaani tukio moja wamedanganywa mara mbili,ndani ya mwezi mmoja.Kinachinikera ni uwongo wa viongozi wa Simba, si kiwango cha sele.
Ukweli mtupu.Mashabiki wengi wamechukia walivyo danganywa na si kuondoka kwa Sele, yaani tukio moja wamedanganywa mara mbili
😂😂😂Kipenzi Changu hebu njoo basi umkandie Salum Mwalimu. 🤣
Greatest Of All Time hivi na wewe Mtani hizi habari unazo kweli. 😅
Ni mihangaiko tu ndo imekuficha hivi Mtani au kuna samsingi elisi? 🤔😂😂😂
Niko salama mtani, mihangaiko inatubanaNi mihangaiko tu ndo imekuficha hivi Mtani au kuna samsingi elisi? 🤔
I hope uko salama kabisa.