Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

Mchezaji mwenyew kumbe ni sele ingekuwa libasse au oura apo ndo ingekuwa jau
 
Mhindi bahiri
Sio bahiri ile pesa yake haina ujanja ujanja...

Pesa ya GSM inafikirisha sana...

Huwezi kutoa milioni zaidi ya 700 kwa mchezaji aliyekuwa na price tag ya chini ya milioni 200 kama pesa yako ni ya halali...

Yale mambo ya kuichangia CCM huenda yalikuwa na maana yake...

Kuna namna GSM wanapata pesa rahisi.
 
Hapana
Haina haja ya kuuma uma maneno viongozi wa Simba wamewafanya mashabiki na wapenzi wao kuwa makatuni......wameongea huku wakijua kuwa sio kweli.....
Ukifanya jambo unalojua masaa kadhaa mbele litawekwa hadharani na litakuaibisha inamaana huna akili timamu.
 
Sio bahiri ile pesa yake haina ujanja ujanja...

Pesa ya GSM inafikirisha sana...

Huwezi kutoa milioni zaidi ya 700 kwa mchezaji aliyekuwa na price tag ya chini ya milioni 200 kama pesa yako ni ya halali...

Yale mambo ya kuichangia CCM huenda yalikuwa na maana yake...

Kuna namna GSM wanapata pesa rahisi.
Nimekupata,Kuna kinakitwa Financial Fair Play ,itumike
 
Ila bado 5imba wako vizuri zaidi, maana wao wana Karia, mzee wa kunyofoa point tano na faini za million mia
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom