Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

Nimekuwa nikimfatilia toka anaanza kupewa wilaya ya Hanang huko Manyara na sio Mbulu ,but outputs ni kidogo sana na creativity hakuna kitu hapo.Muache aendelee kubebwa tu lakini pia kwenye maisha omba bahati.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Nilisikia hivi majuzi aligumdua wezi wa mafuta huko kigamboni hivyo bila shaka ana impact, atasaidia hapa kibaha TC kero kibao na madudu mengi mfano kuna jiran yangu aliuziwa kiwanja na halmashauri kikiwa kimepitiwa na bomba la Maji
 
Unaposema alikuwa 'Single' unataka kusema bado Bi. Sarah ni 'Bikra' na 'habanduliwi' kabisa Mkuu au?
 
Ni mali ya Mzee wa Piko lakini pia Mzee wa tahsisi ya rushwa aliyetolewa hivi karibuni alikuwa anatumia pia mara kwa mara
 
Na kwasasa marital status yake ipoje Mkuu?


Asante sana
 
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.

Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.

Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?

Marital status yake?

Je, ni mlipukaji?
Huyu mama ni jembe saaaaana mkuu,tena sana ilipaswa hata apewe ukuu wa mkoa,hii inshu ambayo mkuu wa mkoa Dar anaipigia kidedea ya wizi wa mafuta kigamboni na pembezoni ni yeye aliibua na alitishiwa maisha saana,ni mfuatiliaji mzuri sana na mtu wa dini kiufupi mmepata jembe,anafikika na anasikiliza na kutatua kero za wananchi ,
 
Mliokosa mkeka, mnasuka njia nyingine za kula pesa za umma?! DC single Yupo Temeke!
 
Kumridhisha mwanadamu ni jambo gumu sana, hizo barabara zisigwe jengwa mngelalamika tena. Hapa unauliza mkuu wa mkoa ameifanyia nini pwani, jibu ni amejenga barabara za lami
Nakuuliza wewe hapo umeifanyia nini pwani?
 
Afisa Kipenyo atakua
H
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.

Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.

Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?

Marital status yake?

Je, ni mlipukaji?
Hajawahi penda u DC Yeye ndoto yake ni UBUNGE TU, 2020 aliogopa biti la Magufuli , Otherwise na yeye ange resign akagombee ubunge
 
Kweli eh aisee nitajitahidi nimuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…