luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
-
- #41
Wee msabato kivip maana niliona jina lake limeandikwa sara msafir ally ...Ni Msabato safi tu. Ni ndugu yake mama Kairuki (Mtoto wa mama mdogo na Kairuki). Ana connection na wazito. Niishie tu hapo.
Kwako hilo ndio creativity?! dah Nji hii ina safari ndefu kufika!Na ule wizi wa mafuta kigamboni alioubai unaitwaje? au ndio zegwe juu yake unaanza?
Ni mpareKanaropokaga ropokaga na ninachojua ni kamzigo ka Bashite
No hakuwa na mtoto, hakuwa ameolewa.Single mother or just single.,...!
uliza watu wa kigamboni kwanza.. kawafanyia niniKumbe ana kisomo chake.
Basi Kibaha tumepata jembe pengi e atatusaidia kutoondolea kero za barabara za ndani maana kibaha Tc barabara za ndani zenye kiwango cha lami ni chache mnoooo.
Simfatilii ila namfahamu sana tangu chuo hadi kaziniDu mkuu unamfuatilia balaa
Kana tamaa sana!Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.
Je, ni mlipukaji?
Ni jina tu.. but she is a devoted Sabbath keeperWee msabato kivip maana niliona jina lake limeandikwa sara msafir ally ...
Wewe itakuwa tulikuwa wote UD enzi Ile maana ndio nae huyu nilikuwa namuona sijui alisomaga FASS?Simfatilii ila namfahamu sana tangu chuo hadi kazini
Kumbe ni Udsm Allumni ?Wewe itakuwa tulikuwa wote UD enzi Ile maana ndio nae huyu nilikuwa namuona sijui alisomaga FASS?
Usikute nayeye katanguli maana cheni ya covid ogopaNdie mtu pekee kifo cha Jiwe kimemuuma sana. Kwasababu hatauza sura tena
Kwani Ndugu yetu Lissu anasemaje kumhusu huyu uliyemwita 'mbavu nene'?!Yule jamaa mweusi mwenye mbavu nene
Mimi Nina kiwanda Cha nguo Nina vyerahani vitatu. Viwili nimeajiri vijana wawili kila mmoja ana mkeKumridhisha mwanadamu ni jambo gumu sana, hizo barabara zisigwe jengwa mngelalamika tena. Hapa unauliza mkuu wa mkoa ameifanyia nini pwani, jibu ni amejenga barabara za lami
Nakuuliza wewe hapo umeifanyia nini pwani?
Ni mchapakazi alikua DC wa kigamboniNikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.
Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info.
Je, na yeye ni UVCCM kalamba shavu la uteuzi?
Marital status yake?
Je, ni mlipukaji?
Pili msafiriAfisa Kipenyo atakua
Hapana Mkuu, bado yupo. Na anaendelea kuwepo kwenye Msafara wa Madame (ingawa hauzi Sura kama wakati wa Magu).Msafara wa Madame Uganda na Kenya Alikuwapo.Usikute nayeye katanguli maana cheni ya covid ogopa
Alilia kama babake ndio kafa.Hapana Mkuu, bado yupo. Na anaendelea kuwepo kwenye Msafara wa Madame (ingawa hauzi Sura kama wakati wa Magu).Msafara wa Madame Uganda na Kenya Alikuwapo.
Basi tuliaMimi Nina kiwanda Cha nguo Nina vyerahani vitatu. Viwili nimeajiri vijana wawili kila mmoja ana mke
Kwako hicho sio kitu kipya? Kweli "Nji" lazima iwe na safari ndefu!! Watangulizi hawakuwepo hapo mwanzo? Anyway ni swala la mtazamoKwako hilo ndio creativity?! dah Nji hii ina safari ndefu kufika!