Sara Msafiri, DC mteule wa Kibaha ndio nani?

Ni PA au MBA?

Anajiamini sana huyu mdada mwenye paja nene na la kuvutia. Muda mwingine anavaa sketi yenye mpasuo kiasi cha kuwatia kiwewe wale wapenda sufi.

Master yake alimalizia Mzumbe pale Upanga, na msimamizi wa Dissertation yake alikuwa Prof. Barongo Afisa Kipenyo Mwandamizi yule mzee
 
Nikiwa kama mkaazi wa Kibaha TC nimeona hili jina la DC mpya Bi Sara Msafiri lakinI sioni CV yake.

Embu mnaomfahamu na kumjua leteni Info..
Hapana syo mteule mpya, ni dada mmoja hvi mchapakazi sana, aliwahi kuwa DC wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara, akapata uhamisho akaenda kuwa DC wilaya ya Kigambo, sasa hivi ndo kapelekwa Kibaha. Yuko vizuri sana huyu dada.
 
Hajawahi kuwa DC Mbulu, ni Hanang bwana, taarfa zako haziko sahihi
 
Huu uzi haujatulia kabisa achaneni na vitu maalum jamani aka magodoro ya wakubwa
 
Inawezekana ni mmjo katiya wale wasio julikana.
 
Kala sana pale, unakumbuka Magufuli alimruhusu Bashite kwenda Misri kuongeza hamasa kwa Stars bila aibu akasema 'nenda na ukitaka kwenda na Mkuu wa Wilaya Sara nenda naye' ahahahahah jioni namuona Sara kwenye ndege amevaa jaketi to Egypt
Mbona nasikiaga Bashite hawezi kula mzigo?
 

Mpaka leo ni single?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…