Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

A10CC131-F1E3-42B0-8177-C57420556011.jpeg

Nilichogundua Sara alikuwa chuma kweli kweli
 
Story hii imenikumbusha mbali Sana

Wakati wa Matukio haya nilikuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya UV CCM Ilala Na Muajiriwa wa Hospital ya Ocean Road

Niliokuwa nao wote tu kubishana Na kujadili tukio hili wameshatangulia mbele Za Haki!
 
Story hii imenikumbusha mbali Sana

Wakati wa Matukio haya nilikuwa Mjumbe wa Halamshauri kuu ya UV CCM Ilala Na Muajiriwa wa Hospital ya Ocean Road

Niliokuwa nao wote tu kubishana Na kujadili tukio hili wameshatangulia mbele Za Haki!
Kumbe wewe ni mtu wa kitambo mkuu, nisaidie kazi mimi kijana wa siku hizi, nimehitimu masomo ya afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story hii imenikumbusha mbali Sana

Wakati wa Matukio haya nilikuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya UV CCM Ilala Na Muajiriwa wa Hospital ya Ocean Road

Niliokuwa nao wote tu kubishana Na kujadili tukio hili wameshatangulia mbele Za Haki!
Story yanikumbusha mbali kidogo, mwaka huo ndio nilikuwa natimiza mwaka mmoja tokea niajiriwe na shirika la posta na simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom