Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Nafuu Bi Sarah alikua na mpigaji msomi kdgo bwana toroha aliemwongoza mpka Europe, Justin Kasusura yeye hakuona hta mwanga wa kupenya afike hta Mozambique! Jinga kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani tofauti yao kubwa ilikuwa planning horizon. Upigaji wa Simbaulanga ulihusisha planning horizon ndefu kuliko ule wa Kasusura ambao ulikuwa more or less impromptu!
 
Mapungufu ya akili ya kufundishwa (na Toroha) hayo!

Mara nyingi shetani hufanikisha hila zake kwa kutumia mwanamke kama chambo. This time aliamua kumtumia *mwanamme (Toroha)!

* = Hivi neno sahihi hapa ni mwanamme au mwanaume? Kama ni mwanaume, kwa nini “mwanamke” nayo basi isiwe “mwanauke”?
Hii msuba ya wapi chief....
 
Hapana ni taarifa inayojulikana Sana watu wengi tu kwasababu kesi ilikuwa wazi tu na magazeti yaliandika sana
Kweli kabisa ni habari zilizoiteka vichwa vya habari vya magazeti na redio za wakati huo mfano radio tanzania, idhaa zote ya taifa na ile ya external service wakti huo, na pia magazeti maarufu pekee yalokuwapo kipindi hicho kama vile uhuru mzalendo daily news mfanyakazi na kiongozi, hili kiongozi kama sikosei lilikuwa ni la madhehebu fulani ya dini.

Habari zilozowahi kutamba sana ukiachia mchezo wa bi simbaulanga ni pamoja na kesi ya uhaini hii nayo ilitamba kwa kipindi kirefu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom