Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

bado yupo hai,anaishi maeneo ya kawe,eneo maarufu linaitwa kwa joseph,zamani palijulikana kwa jina la kwa simbaulanga kutokana na tukio hilo,nadhani alijiwekeza kidogo maana ana nyumba nne katika mtaa mmoja!

Natamani nimwonee

Kadada kalikuwa na akili Sana ee

Mumewe aliyezaa nae yukwapi??

Mtoa mada kafupisha Sana habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KingKong77,
Mashataka yalikua matano je kila. Shtaka alihukumiwa miaka minagpi jela?
Je hukumu ya pili. Vifungo vilifuatana au viliambatana?
 
Back
Top Bottom