Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Picha tafadhali na kwasasa wako wapi hawa watu dah
Picha zao
IMG-20190105-WA0001.jpeg
IMG-20190105-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story hii imenikumbusha mbali Sana

Wakati wa Matukio haya nilikuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya UV CCM Ilala Na Muajiriwa wa Hospital ya Ocean Road

Niliokuwa nao wote tu kubishana Na kujadili tukio hili wameshatangulia mbele Za Haki!
Hahahaa kumbe na wewe mhenga? Mi bado umri wangu ulikuwa single digit!! Na bado naitwa babu!
 
Sara alikuwa na akili ya kuiba ila hakuwekeza kwenye kujilinda.kakamatwa kizembe hata ajakula sanaa matunda ya Kazi yake.

Mapungufu ya akili ya kufundishwa (na Toroha) hayo!

Mara nyingi shetani hufanikisha hila zake kwa kutumia mwanamke kama chambo. This time aliamua kumtumia *mwanamme (Toroha)!

* = Hivi neno sahihi hapa ni mwanamme au mwanaume? Kama ni mwanaume, kwa nini “mwanamke” nayo basi isiwe “mwanauke”?
 
Back
Top Bottom