Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

Chama Chakavu, Ubunifu sifuri.
 
Na wale majuha wataiga tu na mirangi yao ya senene
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sare Ndio zinaleta kura?

Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?

Mnaudhi sana kwa kweli

Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Ila kwa CCM kuchezea boksi la kura ni halali..........

Kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hivi karibuni
 
CHADEMA ndio habari ya mjini kwa sasaโœŒ๐ŸพโœŒ๐ŸพโœŒ๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ
 
We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
Kwa hiyo unawashwa nini yeye akiwa CHADEMA?
Wewe unatoka ukoo wa wachawi si bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ