Hivi wewe kazee uchoki aiseeHujui kuwa tulimwaga damu Mkwawa akipigana na Wajerumani? Vita ya majimaji zilimwagika damu za watu sio maji. Zuzu wee tena zumbukuku kabisa. Zuzumagic wa Africa
Ni jezi tu ndio zimewapendezesha, sare nzuri, zimewatoa utafikiri Barcelona FC.
Si yupo Maternity leave?Kawe Alumni, We Dada uwa unampikia sa Ngapi Mmeo Kila Mda upo humu..
Mods Muwe Mnampiga ban huyu Ili awe anapata mda wa kufanya shughuli za nyumbani.
Wewe jamaa noma sana naona mpinzani wako Remote kapigwa banSare Ndio zinaleta kura?
Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?
Mnaudhi sana kwa kweli
Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
Hahahhahaha dah nimecheka hadi basi
Sasa dadaangu ulikopewa ujauzito hukupewa ndimu ?KINYAA MNATIA
We kiaz upo ka kinyonga anayeua ni JPM sio Lowassa aleh¡Kingekua makini kingegundua janja ya lowassa kuja kuiua chadema,kisha akarudi ccm
Hizo sare wanavaa kikosi cha zima moto huko scotland
Mtu aliyeweka historia ya kupunguza kura za ccm unasemaje utumbo huuKingekua makini kingegundua janja ya lowassa kuja kuiua chadema,kisha akarudi ccm
Hizo sare wanavaa kikosi cha zima moto huko scotland
We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
😆😆😆 Nilijua utachemsha tu .Mamako kanibaka
Unaonekana wewe ni mke bora sana kwa uangalizi wa familia?, maana umeandika kwa hisia sana.We jamaa unaonekana upo obsessed Sana na chadema sijui wanakulipa au unajitolea? Na Kama unafamilia sijui unapata muda gani kukaa na familia yako maana kila wakati upo jamiiforum na nyuzi zako nyingi zinahusu chadema.
Hivi wewe binti una nini lakini? Hujielewi na hujitambui aslani! Kama umekataliwa na vijana wa hapo mikocheni ni kwasababu ya sura na roho yako mbaya ambayo Haina mvuto! Hivi nani huchezea boksi la kura na kuliiba Kama siyo ccm na policcm na necccm? Au ulitaka kuandika Nini? Hiyo gongo unayokunywa hapo mikocheni kwa wamakonde itakuua karibuni kwani huna maini ya kuzuia ukali wake! Unahoji rangi nyekundu as if rangi ni kiashirio Cha vurugu! Kahoji Ile ya Simba Basi Kama una guts! Popoma mwili nzima!Sare Ndio zinaleta kura?
Hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini?
Mnaudhi sana kwa kweli
Hatutaki boksi la kura lichezewe, hatutakubali
View attachment 1294945
View attachment 1294946
View attachment 1294947
Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki wanavyofahamu .
Natoa onyo kwa mamluki wanaolipwa na chama chakavu ili kuleta ujinga kuhusiana na uchaguzi wa Chadema , kwamba tumekwisha wajua na tutawadhibiti vibaya sana , kwa vile Chadema ni mpango wa Mungu tumeoteshwa kugawa sare mpya , sasa vaeni hizo mlizochongeshewa mkione cha moto , Hatutaki lawama .
Hivi wewe binti una nini lakini? Hujielewi na hujitambui aslani! Kama umekataliwa na vijana wa hapo mikocheni ni kwasababu ya sura na roho yako mbaya ambayo Haina mvuto! Hivi nanihuchezea boksi la kura na kuliiba Kama siyo ccm na policcm na necccm? Au ulitaka kuandika Nini? Hiyo gongo unayokunywa hapo mikocheni kwa wamakonde itakuua karibuni kwani huna maoni ya kuzuia ukali wake! Unahoji rangi nyekundu as if rangi ni kiashirio Cha vurugu! Kahoji Ile ya Simba Basi Kama una guts! Popoma mwili nzima!
Mkuu nimekumbuka mbali sana, Dah!Dadeeeki kila siku nasema Chadema wana akili kuliko CCM wote combined together na mamluki wao hamtaki. Chadema mmoja ni sawa na Ccm top officials watatu au wanne. Ushahidi huu hapa. Hesabu mwenyewe hapoView attachment 1294955
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili binti jiongeze hata kwa mange anauza dawa za kuongezea wowowo na hips, angalau utaweza kuwawin hata mahouseboy na walinzi hapo mikocheni! Huna mchango wowote wa maana humu jf zaidi ya mapambio na sifa za kishamba tu! Hivi wewe na wakudadavua ni mashost? Huenda ni mashost maana hoja zenu zote zinalandana sana! Uwe na adabu humu!Mbona unanitusi badala ya kujenga hoja?umeniudhi sana
Very painful, sasa hivi wanasingizia kuwa mafuriko kwenye barabara za Dar yameletwa na Bendera za ChademaMkuu nimekumbuka mbali sana, Dah!
Those were days where politics was on fleek.
Look what they did to Lissu! [emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app