Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Nimeipenda hii ya Kenya
Tanzania hizo zilikuwa ni uniform za wafungwa.Pengine wenyeji huko wao zinawavutia,
Huenda hata wao wanaona za Tz hazivutii.
Ndio maana nakuambia wanapenda wenyewe mbona wengine wanavaa pana na wanajisitiri vizuriSuruali zakubana sana. Haziwasitiri hata. Nia aibu tupu.
This is sencePengine wenyeji huko wao zinawavutia,
Huenda hata wao wanaona za Tz hazivutii.
Ila mkuu hao kachabari haichukui muda mrefu maji hayo!!...huku bongo mpaka utaota malengelengeUbaya wa uniform umechangiwa na shape mbovu ya hao askari wenyewe wenye sura ya baba zao.
Bongo rushwa mkuu tena walivyo weusi wangekuwa na mshepuuu yani shida balaaIla mkuu hao kachabari haichukui muda mrefu maji hayo!!...huku bongo mpaka utaota malengelenge
๐๐๐๐๐๐Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Mi nafikiri shape ndo inachangia!!
Haha zinafuata za Kenya nazo mbovu balaaKwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Wenyewe wamezowea hawawezi kuchekaTraffic kama huyo anaweza kukusimamisha halafu ukajikuta unaanza kucheka mwenyewe hadi akakushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzuri unachangia
Wewe unataka zakubana Tatizo lako ndiyo hiloKwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308